Posts

BBA WINNER, DILLISH POSTS NUDE PHOTO ON INSTAGRAM

Image
  Dillish Matthews, the winner of the last edition of Big Brothe r Africa (BBA The Chase, 2013) seems to be adapting to fame and settling well into her celebrity life. The 22-year-old Namibian seems to be going down the route of most female celebs who once in a while want to show us they've got a fab body by taking her top off. Sad though, Dillish didn't turn around for a 'full disclosure'. Dillish who made a quick trip to Johannesburg but has returned to Nigeria which seems to be the entertainment capital for BBA housemates. Days earlier, Dillish visited Edo State Governor Adams Oshiomole before going to party with fellow BBA housemate Selly at Sofa Lounge, Abuja on October 19, 2013. At least she left some things to the imagination

Waasi wa M23 wameua mwanajeshi wetu mmoja ( JWTZ ) huko kongo

Image
Msemaji wa Umoja wa Mataifa katika taarifa yake ya Jumapili kwa waandishi wa habari amesema kuwa askari mmoja wa Tanzania aliyekuwa akihudumu kwenye kikosi cha mpango wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa MONUSCO huko katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DR Congo), ameuawa wakati akiwalinda raia. Msemaji huyo amemkariri Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon akilaani vikali mauaji hayo yaliyotokea wakati waasi wa M23 waliposhambulia walinda amani hao wa MONUSCO ambao walikuwa wakisaidia jeshi la DR Congo, FARDC kulinda raia huko Kiwanja-Rutshruru, kilometa 25 kaskazini mwa Goma. Ban ametuma rambirambi kwa familia ya askari huyo pamoja na serikali ya Tanzania huku akisema kuwa Umoja wa Mataifa umejizatiti kuchuka hatua zote muhimu kwa mujibu wa azimio namba 2098 la Baraza la usalama kuhusu kulinda raia Mashariki mwa DR Congo. Wakati huo huo, jeshi la DR Congo limewaambia waandishi wa habari kwamba ilikomboa miji miwili mingine ya Rutshuru na Kiwanja,

PICHA ZA MATUKIO YANAYOJIRI MSIBANI KWA BABA’KE WEMA MAREHEMU BALOZI SEPETU

Image
Mama mzazi wa Wema akiwa na simanzi baada ya kuondokewa na mumewe mzee Sepetu. Kajala Masanja (kushoto), Wema Sepetu (katikati) na Zamaradi Mketema (kulia) wakiwa katika hali ya majonzi nyumbani kwao Wema Sepetu, Sinza - Mori jijini Dar. Kajala Masanja (kushoto) na Wema Sepetu (katikati) wakiangua vilio. Kulia Zamaradi akijaribu kumtuliza Wema. Ndugu wa karibu wa marehemu akiwa na simanzi nzito STAA wa sinema za Kibongo na Miss Tanzania 2006 Wema Isaac Sepetu, bado yuko kwenye wakati mgumu baada ya leo asubuhi kupatwa na msiba mkubwa wa kuondokewa na baba yake mzazi Balozi Isaac Abraham Sepetu aliyefariki asubuhi ya leo. Kwa sasa kuna watu wengi wamefika kumjulia hali maeneo ya Sinza, Mori jijini Dar, rafiki yake wa karibu Kajala Masanja na Zamaradi Mketema wapo bega kwa bega kuwa naye karibu na vilio vimetawala kila kona ya familia ya marehemu Balozi Sepetu. Bado haijafahamika mazishi yanafanyika lini maana wanasubuliwa wa

Jamal Malinzi ashinda urais wa TFF

Image
HONGERA Habari tulizozipata ni kwamba Jamal emil Malinzi amefanikiwa kushinda uchaguzi wa TFF kwa nafasi ya urais aliyokuwa anagombea dhidi ya Makamu wa zamani wa Rais wa TFF Athumani Nyamlani. Uchaguzi huo, uliotawaliwa na kashkashi za hapa na pale, ulifanyika katika ukumbi wa NSSF WATER FRONT, Dar es salaam Jamal Malinzi ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha soka cha mkoa wa Kagera ameshinda uchaguzi huo ikiwa ni mara yake ya pili kugombea baada ya kushindwa na Rais wa zamani wa TFF Leodgar Chillah tenga mwaka 2008.   TUPE MAONI YAKO MWANASPOT WETU, NA USISAHAU KULIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK/TWITTER

KURASA ZA KIUDAKUUZZZZ ZA LEO JUMATATU

Image
. . . .

John Mnyika ajitosa kuinusuru CHADEMA....Amejibu tuhuma moja tu ( ya kunga'ng'ania madaraka ) kati ya 6 zilizotolewa.

Image
Mbunge wa jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, ndg John Mnyika amejitosa kukinusuru chama chake baada ya viongozi wakuu wa chama hicho kukabiliwa na tuhuma nzito zikiwemo za wizi wa fedha za wanachama na kung'ang'ania madaraka.... Yafuatayo ni majibu ya John Mnyika baada ya kutandikwa swali na mdau wa Mabadiliko kuhusiana na tuhuma ya kung'ang'ania madaraka kwa kubadili kinyemela baadhi ya vipengele vya katiba ya chama hicho. KUMBU KUMBU MUHIMU: (John Mnyika ni miongoni mwa wajumbe wa timu iliyofanya marekebisho ya Katiba mpya ya CHADEMA ya mwaka 2006.) ******Majibu yake ******** Ni kweli nilikuwa mjumbe kwenye timu zilizohusika na kuandikwa kwa katiba mpya ya CHADEMA ya mwaka 2006, aidha nilikuwepo kwenye mkutano mkuu wa chama uliopitisha katiba mpya tarehe 13 Agosti 2006. Tuhuma ya kwanza toka kwa Mwigamba : “Wakati tukifanya mabadiliko ya katiba mwaka 2006 hatukugusa kipengele kinachomzuia kiongo

Hatimaye sababu za Wema Sepetu na Diamond kurudiana zajulikana, soma mchezo mzima ulivyokuwa!

Image
Baada ya kimya kirefu juu ya tetesi za kurudiana kwa mwanadada Wema Sepetu na Diamond kuzagaa kwenye mitandao hasa baada ya picha za wawili hao waliokuwa wamechana kuonekana wakila “bata” pamoja maeneo ya Hong Kong huko kwenye bara la Asia, sababu na ukweli wa namna wawili hao walivyorudiana umewekwa waza baada ya hivi karibuni msanii diamond platnumz kuzungumza na mtandao wa GPL na kuelezea jinsi tukio hilo zima lilivyokuwa. Katika mazungumzo hayo Diamond alitaja mambo haya makuu matano yaliyosababisha mpaka aamue kurudisha vikosi kwa mwanadada Sepetu. Sababu ya kwanza (1) – UKARIMU WA WEMA Diamond alisema kuwa alipotua Hong Kong alishangaa kukutana na mapokezi ya Wema kwenye uwanja wa ndege jambo ambalo hakulitegemea. “Alinionesha ukarimu wa hali ya juu mno. Wakati tulipokuwa hapa Bongo tulikuwa hatusalimiani. “Kuna vitu vingi vya ajabu vilitokea huko nyuma kati yangu na Wema. Sikufikiria wala kuwaza kama anaweza akawa mkarimu kwangu kiasi kile. A

Diamond, Davido, Mohombi na Nay wa Mitego kufanya show ya bure Leaders Club leo saa tisa mchana

Image
Kutokana na kutokea hitilafu ya umeme Alfajiri ya leo kwenye show ya Serengeti Fiesta Dar, iliyopelekea baadhi ya wasanii waliokuwa wakitarajia kupanda jukwaani kutumbuiza akiwemo Davido, Mohombi, Diamond, Nay wa Mitego na wengine kushindwa kupanda, leo kuanzia saa tisa, wasanii hao watapanda tena jukwaani kuzikonga nyoyo za mashabiki wao bila kiingilio chochote. Ni katika uwanja ule ule, jukwaa lile lile la Serengeti Fiesta Dar es Salaam ambapo Diamond,Davido,Mohombi pamoja na Nay wa Mitego watapanda kuanzia saa 9 jioni mpaka saa 12. Show hiyo ya bure itapambwa pia na bendi ya Twanga Pepeta. -Habari kwa hisani ya bongo5

Tamasha la Serengeti Fiesta 2013 lilivyowasha moto usiku jana ndani ya viwanja vya Leaders Club

Image
KAMA ULIKUWEPO ULISHUHUDIA KAMA HUKUWEPO USIJALI PATA MATUKIO KWA PICHA HAPA , NA USISAHAU KULIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK

"Sijawahi vua nguo na kufanya mapenzi na mwanaume yeyote tangu niachane na Diamond"...Jokate Mwegelo

Image
Mtangazaji wa Channel O mwenye mvuto wa aina yake, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amefunguka kuwa tangu amwagane na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ hajawahi kungonoka na mwanaume mwingine. Penzi la Jokate na Diamond lilichanua kwa takriban miezi miwili mwaka jana wakati Kidoti alipomwagana na aliyekuwa mpenzi wake, mcheza kikapu wa Ligi ya NBA ya Marekani, Hasheem Thabit. Alipoulizwa anamudu vipi hisia za matamanio ya kufanya mapenzi, Jokate alisisitiza kuwa kazi pekee ndiyo silaha kubwa ya kumuepusha na vishawishi ingawa anatambua upo umuhimu wa kuwa na mpenzi. “Akitokea mkweli, nipo tayari ingawa hadi sasa hata sijajua nani anaweza kuwa kama alivyokuwa Hasheem, nilimpenda sana,” alisema.

Rais Kikwete awatoa hofu watanzania kuhusu sakata la Mafuta....Amesema kwamba hiyo siyo mali ya wazungu, ni yetu watanzania

Image
RAIS Jakaya Kikwete amewatoa hofu Watanzania kwamba kuwaruhusu wawekezaji wa nje kufanya utafiti wa mafuta na gesi nchini, kuna hasara kubwa itakayolikumba taifa. Pia amewataka kupuuzia dhana kwamba kuwaruhusu wawekezaji hao kunaweza kusababisha wahamishe rasilimali za gesi na mafuta zitakazogunduliwa kunufaisha mataaifa ya nje. Rais Kikwete alitoa kauli hiyo, Dar es Salaam jana kabla ya kuzindua awamu ya nne ya ugawaji vitalu baharini katika kina kirefu Kaskazini mwa Ziwa Tanganyika. “Kumekuwa na maneno mengi kuwa mfumo huu wa sasa wakutoa leseni za utafutaji wa mafuta na gesi kwa wawekezaji wa nje, kuwa hakuwanufaishi Watanzania. Alisema sheria, mfumo na mikataba iliyowekwa haiwezi kuruhusu mianya hiyo ya kupata hasara na kwamba asilimia 75 ya faida itakayopatikana baada ya wawekezaji kurudisha gharama zao za utafiti, itakuwa ni ya taifa na asilimia 25 ndiyo itakayokuwa stahili yao. Kwa mujibu wa Rais Kikwete wapo baadhi ya watu wanaoeneza maneno potofu, kw

Wema Sepetu atumia milioni 13 kuibadili ngozi yake akiwa China baada ya kuharibiwa sana na Mkorogo

Image
IMEVUJA! Kumbe ile safari ya nchini China ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ‘Madam’ lengo lilikuwa kubadili ngozi ya mwili wake katika mwonekano mpya ambayo ilishaharibika kwa mkorogo. Wema Sepetu ‘Madam’. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, staa huyo aliingia nchini humo na mdogo wake aitwaye Bite ambaye kazi yake kubwa ilikuwa kufanya mawasiliano na nyumbani, Tanzania endapo lingetokea baya wakati wa zoezi hilo. KWA NINI ALIAMUA KUDILI NA NGOZI? Mpashaji wetu aliliambia Amani kwamba, Wema alichoshwa na ‘vijembe’ vya watu mbalimbali wakiwemo wabaya wake kuwa ngozi yake imebabuka kwa kutumia mkorogo kupitiliza. Miguu ya Wema Sepetu ‘Madam’ kabla ya kubadili ngozi. “Kuna wakati Wema alikuwa akikosa amani kutokana na maneno ya watu, wengine waliokuwa wakimrushia vijembe ni masupastaa wenzake, ndiyo maana akaamua kwenda China kubadili ngozi yake iwe na mwonekano mpya,” kilisema chanzo. Habari zaidi zilidai kwamba, supastaa huyo hakupenda kabisa Wabong

CHADEMA wasalitiana na kufukuzana....Mbowe apigwa ngumi baada ya kudaiwa kuiba milioni 80 za chama , polisi waingilia kati huko Arusha

Image
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kanda ya Kaskazini, kimemsimamisha Uongozi Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Arusha Samson Mwigamba kwa madai ya kukihujumu chama hicho. Taarifa ambazo tumezipata kutoka ndani ya kikao cha Baraza la uongozi kanda ya Kaskazini, kilichofanyika katika Hotel ya Corridor Spring leo usiku, zimedai uamuzi wa kusimamishwa Mwigamba umefikiwa na Kikao hicho baada ya kuwasilishwa kwa vielelezo kadhaa vya Mwigamba na yeye kukiri kuwa ni vyake huku vingine vikimuonyesha kuwa ndiye mmiliki wa Akaunti ya Jina la ‘Maskini Mkulima’ ambalo limekuwa likitumika kukichafua chama kwenye mitandao ya kijamii. Hakuna kiongozi ambaye amekuwa tayari kuzungumzia suala hili kiofisi, lakini taarifa za uhakika ambazo tumezipata kutokana na maamuzi ya kikao hicho zimebainisha kuwapo kwa maamuzi hayo pasipo shaka. “Kikao hicho kimemsimamisha Uongozi kupisha uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili, hivyo kuanzia sasa mwigamba siyo kiongoz