Posts

Diwani wa CHADEMA atiwa mbaroni kwa tuhuma za wizi wa milioni 10

Image
WATU tisa akiwemo Diwani wa Kata ya Old Moshi Magharibi, Elisaria Mosha (Chadema) wametiwa mbaroni wakituhumiwa kupokea fedha kwa njia ya udanganyifu kupitia mradi wa umeme mkoani Kilimanjaro. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya Makamu wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal, kufanya ziara mkoani Kilimanjaro na kuagiza watu waliofanya hivyo wakamatwe mara moja. Akizungumza na waandishi wa habari jana ofisini kwake, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz alisema diwani huyo anatuhumiwa kujipatia Sh milioni 9.6 kwa njia ya udanganyifu. Wengine wanaoshikiliwa ni Zakayo Kimathi (52) mkazi wa Mandaka, anayedaiwa kupokea Sh milioni 10.3, Oforo Kimambo (56) mkazi wa Mandaka anayedaiwa kupokea Sh milioni 29. Wengine wanaotuhumiwa kupokea malipo hayo kwa njia ya udanganyifu ni Daud Mallya (69) mkazi wa Chekereni aliyepokea Sh milioni 8.6, Richard Mlaki (69) mkazi wa Kiboroloni alipokea Sh milioni 18.6 na Focus Herman (88) mkazi wa Kilototoni aliyepokea Sh milio

BAKWATA kuyatoa kuhusu tarehe ya sikuu ya EID-EL -HAJJ mwaka huu

Image
Baraza kuu la waislam wa tanzania linafurahi kuwatangazia waislam na wananchi kwa ujumla kuwa sikukuu ya Eid- El-Hajj itakuwa tarehe 16/10/2013

GARI YA BILIONEA ANAYEMILIKI MANCHESTER CITY YAONEKANA DAR, ANAIMILIKI YUSSUF BAKHRESA

Image
Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England, imeonekana leo Dar es Salaam, lakini ni mali ya Yussuf Bakhresa, mtoto wa bilionea Mtanzania, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa. Vyanzo vimesema Yussuf alitoa oda maalum kutengenezewa gari hili na thamani yake jumla si chini ya dola za Kimarekani 500,000. Hii hapa mali ya Yussuf Bakhresa Huyu jamaa ndiye anayeendesha gari la hili la mtoto wa Bakhresa Angalia alivyotulia ndani ya mzigo wa dola 500,000 Ni oda maalum kwa ajili ya Yussuf Bakhresa Bin Zubeiry aliionja kidogo Mwingine mwenye gari kama hii Dar es Salaam nani? Kutoka Manchester hadi Dar es Salaam-BIN ZUBEIRY

Soma Kurasa za mbele katika MAGAZETI ya Leo Ijumaa

Image

TOP 1O MOST POPULAR FILM STARS IN TANZANIA 2012

Image
Nollywood the largest film industry in Africa is in jeopardy due to the increasing popularity of Tanzanian movies(swahiliwood)everyday in east and central African countries and even beyond.In recent years film actors from Tanzania have been welcomed and treated like national leaders in foreign lands like Rwanda,Burundi, DRC and others something even shocked Tanzanian leaders and even nollywood stars like Ramsey Nouh, Mercy Johnson and Inkiru Sylivenus have already worked in Tanzanian films. Tanzanian film stars are many but here we will give you the Top 10 most popular film stars in Tanzania 2012 and since next year we will give you the list of best performances of the year. However the popularity of these celebs throughout the year is due to various reasons like talents and good performances, scandals, both and others issues, and note that this is not the list of best actors though some of them are best actors.----   10:SHILOLE Her popularity this year was fu

Picha za Nusu Uchi za msanii wa vituko Show (Lissa Mlaki ) zavuja.....

Image
Msanii wa kike wa kundi la vituko show ajulikanaye kwa jina la Lissa Mlaki amejikuta katika aibu ya mwaka baada ya picha alizopiga akiwa utupu kuvuja mtandaoni... Picha hizo zinamwonesha mwanadada huyu akiwa na kichupi kitandani huku akiwa akiwa ametunuka kama CHURA anayejiandaa kuruka.. Pembeni yake kitandani, unaonekana mguu mmoja wa kiume ambao bila shaka ni wa jamaa yake aliyekuwa akimpiga hizo picha.... Picha zimekwa katika forum , bofya hapo chini kuziona. <<BOFYA HAPA KUONA PICHA >>

Tukio zima la MAUAJI ya kutisha jijini Mwanza....Kijana amchoma kisu mwenzake, wananchi nao wamvaa na kumponda mawe mpaka akafa

Image
Watu wawili wameuawa katika tukio la utata lililotokea jana asubuhi majira ya saa 3 na dakika kadhaa, katika eneo la barabara ya msikiti wa Ijumaa jijini Mwanza. Chanzo cha mauaji hayo kinadaiwa kusababishwa na kijana mmoja maarufu kwa jina la Mkandarasi kumchoma kisu kijana mwenzake ambaye alikuwa mgeni akifanya kazi za usaidizi kwa mamantilie wanaopika chakula katika moja ya viunga vya ndani eneo la vichochoro vya mtaa wa Msikiti wa Ijumaa kufuatia majibizano ambayo yalisababisha kijana Maarufu kwa jina la 'Mkandarasi' amchome mwenzake kisu cha shingoni na sehemu nyingine za mwili. Kijana huyo alipoona amezidiwa alitafuta upenyo na kukimbia huku damu zikimchirizika, hata hivyo hakufika mbali kwani alizidiwa na hatua chache baadaye alianguka chini nakuaga dunia. Wananchi wenye hasira walimzingira muuaji ambaye naye alikuwa akijihami kwa kisu alichokuwa nacho mkononi na ndipo walipofanikiwa kumbwaga chini na kumshambulia kwa mawe hadi umauti. 

Director wa Bongo Movie afumaniwa na Mke wa mtu gesti...Ndani wakutwa na Kondom tano zilizotumika

Image
Vitendo vya madirector wengi wa filamu kupenda kuwarubuni wasanii wachanga kuwa kama watatoa uroda basi watapewa nafasi ya kucheza filamu na kuwa mastaa wakubwa imemtokea puania msanii na director maarufu wa bongo movie Edward Nicas Temu maarufu kwa jina la Nicas baada ya kufumaniwa na mke wa mtu ambae ni msanii wa kundi lake. Jina la Nicas ni jina maarufa sana hasa kwa wasanii kufutia huyu mshikaji kuwa kwenye sanaa kitambo akiwa kama msanii na director .Kwa kipindi kirefu amekuwa akifanya kazi za watu lakini siku za hivi karibuni alianzisha kundi lake huko maeneo ya Kinondoni Moscow na kukusanya makumi ya wasichana kwa ajili ya kucheza filamu zake... Kutokana na wakidada wengi hasa Underground kupenda kuigiza, jamaa huyo alijikusanyia warembo wa kila aina na alifanikiwa kuwachezesha filamu zake tatu Bad Father,The Reason,House Girl N Boss... Habari zaidi zinaripoti kuwa baada ya kumaliza kuwachezesha filamu hizo msanii huyo alianza kumuweka karibu mmoja wa wa

MAZISHI YA BABA MZAZI WA MSANII WA KIZAZI KIPYA 20 PERCENT YAFANYIKA KATIKA KIJIJI CHA KIMANZICHANA ... NI AIBU TUPU

Image
Abas Kinzasa kwa jina la usanii anaitwa 20 Percent akiwa kwenye majonzi baada ya kufiwa na Baba yake mzazi Mzee Kinzasa aliyefariki juzi siku ya Jumapili na kuzikwa siku ya Jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani. Hapa ndipo alikozikwa Mzee Kinzasa baba mzazi wa 20 Percent aliyefariki siku ya jumapili na kuzikwa siku ya jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo Wilaya ya Mkuranga Msanii 20 Percent na ndugu zake wakiweka udongo kwenye kaburi la marehemu baba yake mzazi mzee Kinzasa Abas Kinzasa kwa jina usanii anaitwa 20 percent akieleza jambo kandokando ya kaburi la Baba yake mzazi Mzee Kinzasa aliyefariki siku ya jumapili na kuzikwa siku ya jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo Wilaya ya Mkuranga Marehemu mzee Kinzasa akiombewa dua baada ya kumpumzisha kwenye nyumba yake ya milele Hii ndio nyumba aliyoicha marehemu Mzee Kinzasa iliyoko kwenye kijiji cha