Posts

Feza Kessy ayaanika matiti yake nje wakati wa uzinduzi wa Yahaya

Image
  Video ya yahala ilizinduliwa rasmi jana pande za nyumbani lounge. Baadhi ya wasanii kama Feza Kessy ambaye alikuwa mgeni rasmi, Vanessa Mdee  na  Mkolon... Pamoja  na  kuwa  mgeni  rasmi, Feza  anadaiwa  kuwa  miongoni  mwa  wasanii  waliokuwa  wamevaa  vibaya.... Vazi   lake  lilikuwa  likiyaanika  matiti  yake  hadharani, hali  ambayo  iliwafanya  hata  watoto  wayashuhudie.

Mwanamke mwingine abakwa na kuchomekwa miti sehemu za siri

Image
TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI Ikiwa  ni  siku  chache  baada  ya  mwnamke  mmoja  mkazi  wa  kahama  kubabwa  na  kutobolewa  macho  huku  akichomekwa  kisu  sehemu  zake  za  siri, mitandao  ya  kinigeria  nayo  imeripoti  unyama  kama  huo..... Kwa  mujibu  ya  mitandao  hiyo, unyama  huo  unadaiwa  kutendwa  kwa  binti  wa  miaka  23  ambaye  alibakwa  na  kundi  la  wanaume  na  kisha  kumchomeka  miti  sehemu  za  siri  na  kumtoboa  macho....

HUYU NI BINADAMU ALIYETAJIRIKA KUFUATIA KUJIBADILISHA MWILI WAKE NA KUWA KAMA MJUSI HUKO KWA WENZETU.

Image
Jina alilopewa na wazazi wake ni Erik Sprague, ing awa Ulimwengu unamfaham kama Lizardman, huku akiwa na vipindi zaidi vya Television kibao akionesha jinsi alivyoweza kuubadilisha mwili wake huo.   Mabadiliko hayo yanajumuisha kuchonga meno na kuwa makali, Tattoo mwili mzima ikiwa ya rangi ya kijani na magamba, Ulimi kupasuliwa kati na kuwa pacha, Manundu maalumu usoni na hivi karibuni hadi midomo yake imekuwa ya kijani yote.   Kumekuwa na Uvumi kwamba huenda nyota huyo wa moenesho ya vipindi mbali mbali vya kutisha angefanya mpango aoteshwe mkia, lakini mwenyewe amekanusha na kusema jambo hilo haliwezekani. Mbali na shows kibao amekuwa mwandishi mzuri wa jinsi ya kuubadilisha mwonekano mwa mwili kupitia Body Transformation E-Zine   Lizard Skynyrd ndo jina la Bendi yake ambayo imekuwa ikizunguka sehemu tofauti tofauti duniani kwa matamasha mbali mbali. CHANZO http://www.folclassic.com ...

MWANARIADHA WA UGANDA STEPHEN KIPROTICH AFANYA KWELI HUKO MOSCOW

Image
2012 Olympic Gold Medalist and now the #IAAF World Chapion; Stephen Kiprotich in pictures during the #IAAF World championships men's marathon race in Moscow today.

AVUNJA REKODI YA KUWA BINADAMU MWEUSI ZAIDI DUNIANI !.

Image
INASEMEKANA huyu mwanadada ndiye aliyevunja rekodi ya watu weusi duniani maana maranyingi watu walisubiri atabasamu ili waamini kwam ba ni mwanadamu, Meno ndio yalimtambulisha kwamba ni mtu  Yani amemfatilia dada huyu hadi kugundua kwamba kuna kampuni mpya ya kutengeneza vipodozi iliobuni krimu ya kujichubua na kumbadilisha mwanadada huyu ngozi yake kuwa nyeusi . Hii ilikua ni katika majaribio ya kujaribu mafuta hayo kama yanaweza au laa ?. Ndugu msomaji wangu huwezi amini mlimbwende huyu ni mzungu lakini sasahivi du !.  Haya sasa kwa wakina dada watakaohitaji mkorogo huu bomba wa kukufanya uwe black beauty Endelea kutembelea masai nyotambofu blog siku sio nyingi utakuta tangazo la vipodozi hivyo !.  TUNZA RANGI YAKO IKUTUNZEE

WAISLAMU MSIKITI WA MTAMBANI 'WAMTEKA' ASKARI POLISI

Image
Baadhi ya waumini wa Kiislamu Msikiti wa Mtambani wakiwa wamemzunguka askari Polisi, Jonathan Tossi (katikati aliyeshika kamera) wakimuhoji baada ya kumshikilia kwa muda, hata hivyo walimuachia kwa masharti ya kumtaka afute picha zote alizopiga eneo hilo. Askari Polisi wakizunguka doria eneo la Msikiti wa Mtambani jijini Dar es Salaam kuhakikisha kuna amani.

POLISI FEKI AJITETEA......ADAI KUWA NJAA NDO ILIMFANYA AJIFANYE TRAFFIC

Image
MKANDA mzima wa askari bandia wa Kikosi cha Usalama Barabarani (trafiki), James Juma Hussein (45)  aliyekamatwa saa 1:30 asubuhi ya Agosti, 14, 2013 maeneo ya Tabata Kinyerezi Mnara wa Voda, jijini Dar es Salaam akiwa ndani ya sare zake za kazi, umepatikana....   Kwa nini James alikamatwa? Asubuhi hiyo, afisa mmoja wa trafiki mwenye cheo cha ukaguzi alikuwa akipita eneo hilo kwenda kazini, alipomwona James alisimamisha gari, akashuka kwenda kumsalimia.  Lakini alishangaa kuviona vifungo vya shati lake ni vya kawaida (vya polisi vinatakiwa kuandikwa police force yaani ‘jeshi la polisi’), akamtilia shaka.    Afisa huyo Alimkamata ‘askari feki’ huyo  mkazi wa Kimara Matangini, Dar na kumfikisha kwenye Kituo cha Polisi Stakishari, wilayani Ilala, Dar akafunguliwa jalada namba STK/RB/15305/2013 KUJIFANYA ASKARI ili taratibu za kisheria zichukuliwe juu yake. Ndani ya kituo cha polisi, James alihojiwa haya: Askari: W...

WASANII MAMISS FANI IMEWASHINDA NA WAMEKIMBILIA KUJIUZA......"THEA"

Image
BAADA ya wasanii waliotoka kwenye mashindano ya u-miss kuvuma sana na kupotea ghafla, msanii mkongwe kunako gemu la filamu Bongo, Salome Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ amefunguka na kudai utabiri wake umetimia. Akizungumza na mwandishi  wetu hivi karibuni, Thea alisema miaka kadhaa iliyopita alitabiri kuwa wasanii waliokuwa wanavuma sana ambao walitokea kwenye mashindano ya u-miss, hawatadumu kwenye uigizaji hivyo utabiri wake umetimia kwani sasa hivi, hawavumi tena. “Utabiri wangu unafanya kazi kwa sababu kwa sasa wale wasanii walioibukia kwenye mashindano ya u-miss wengi hawasikiki tena, wasanii wanatakiwa kutambua kuwa sanaa hii siyo lelemama yaani mpaka kufikia hapa tulipo tulifanya kazi ya ziada, tulisota sana kwenye vikundi,” alisema Thea

RAIS KIKWETE APOKELEWA NA RAIS JOYCE BANDA WA MALAWI KWA FURAHA LEO

Image
Rais Joyce Banda wa Malawi akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete amuda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Lilongwe tayari kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za SADC leo

DAKTARI ALIYEMTIBU SHEIKH PONDA MOROGORO ATIWA MBARONI...... CHAMA CHA MADAKTARI CHAPINGA NA KUDAI HANA KOSA

Image
Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ambaye alikuwa amelazwa katika Taasisi ya Tiba na Mifupa (Moi), jana aliondolewa na kupelekwa katika Gereza la Segerea, Dar es Salaam.  Kitendo hicho kimelaaniwa vikali na familia yake na wafuasi wake, ambao wamepanga kufanya maandamano makubwa leo  ... Sheikh Ponda, ambaye alisomewa shtaka la uchochezi akiwa kitandani na Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Tumaini Kweka ilidaiwa kuwa alitenda kosa hilo katika maeneo mbalimbali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kati ya Juni 2 mpaka Agosti 11, mwaka huu. Alisomewa mashtaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Hellen Liwa. Jana, Polisi waliimarisha doria kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili kuanzia saa 1:30 asubuhi. Magari matatu ya Kikosi cha Kutuliza Ghasia(FFU) yaliyobeba askari wenye silaha yalionekana yakiranda katika maeneo mbalimbali ya hospitali hiyo. ...

WANANCHI WAUA MAJAMBAZI MAWILI JIJINI MWANZA...

Image
WATU wawili wanaodaiwa kuwa ni majambazi wameuawa na wananchi mkoani Mwanza wakati wakijaribu kuiba katika kituo cha mafuta cha GBP. Akizungunzumza na mwandishi wetu, shuhuda mmoja ambaye alikuwa eneo la tukio hilo alisema kuwa majambazi hao walifika katika kituo hicho cha mafuta wakitaka kuiba.

PICHA 100 ZA UCHI ZA MSANII MANAIKI SANGA NA MADEMU 30 ZANASWA. ....WAPO MAMISS KIBAO

Image
xdjay  imefanikiwa kunasa picha mbalimbali za aibu za msanii   chipukizi na mwanamuziki Manaiki Sanga akifanya ufuska wa kutisha na   wanawake tofauti tofauti hali inayoonesha ameazimia kujitoa muhanga   juu ya gonjwa hatari la ukimwi linalotishia dunia nzima.  Habari za uhakika toka kwa chanzo chetu kilichotushushia shehena za  picha hizo kilisema msanii huyo ambae pia ni anaigiza pamoja na kundi  la Ze Komedi la East Afrika Tv tangu apate jina amekuwa akijihusisha  na vitendo viovu vya unyanyasaji wa kijinsia kwa kuwarubuni mabinti  kupiga nao picha za aibu kwa lengo la kutafuta jina na amekuwa   akitumia kiasi kikubwa cha pesa kufanikisha suala hilo.  Aidha katika hali nyingine msanii huyo aliyetamba sana kwenye filamu  ya Love Position, Tikisa na nyinginezo amekuwa akitumia gari yake  kufanyia ufusika  hadharani..   <<  BOFYA  HAPA  KUONA  PICHA>...

MAGARI MAWILI YAGONGANA NA TREKTA WATATU WAFARIKI DUNIA

Image
Mkuu wa wilaya ya Mbozi Dk. Michael Kadeghe akiwa na Mkuu wa Polisi wilaya ya Mbozi Ally Wendo katika eneo la ajali leo asubuhi Mabaki ya lori   Mabaki ya trekta TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI -AJALI   MNAMO  TAREHE 15.08.2013  MAJIRA YA    SAA 20:30HRS  HUKO KATIKA  KIJIJI CHA   CHIMBUYA BARABARA YA    MBEYA/TUNDUMA WILAYA YA    MBOZI  MKOA WA MBEYA.  GARI T.765 BBA AINA YA    SCANIA  LILILOKUWA LIKITOKEA MBEYA MJINI KUELEKEA TUNDUMA LILIENDESHWA NA DEREVA AMBAYE BADO HAJAFAHAMIKA JINA WALA MAKAZI YAKE LILIGONGA    TREKTA AMBALO HALIJAFAHAMIKA NAMBA ZA USAJILI KISHA KULIGONGA  GARI ACP 8839 AINA YA   SCANIA    MALI YA    KAMPUNI YA    USAFIRISHAJI YA    DHANDHO  L...

BINTI ANYIMWA KUGOMBEA UONGOZI KWA SABABU NI MZURI KUPITA KIASI

Image
  Msichana mrembo kutoka Iran amejikuta akikosa nafasi ya uongozi katika halmashauri ya jiji lake kwa kuambiwa kuwa yeye ni mzuri sana hivyo amepitiliza sifa za nafasi hiyo. Nina Siahkali Moradi (27), alikuwa miongoni mwa wagombea katika uchaguzi wa halmashauri ya jiji la Qazvin nchini Iran, ambapo baada ya kura kuhesabiwa alikamata nafasi ya 14.  Lakini hata hivyo wiki moja baadaye kura zake zilifutwa na kiongozi wa halmashauri ya jiji hilo kwa maneno ya kejeli akimwambia “We don’t want a catwalk model on the council,”   Katika uchaguzi huo Nina alipata kura 10,000 na kumfanya akamate nafasi ya 14 kati ya 163, lakini wapinzani wake katika uchaguzi huo walilalamika kuwa Moradi alipigiwa kura kwasababu ni mzuri sana anavutia, pia mdogo.   Kwa mujibu wa The Independent, baraza huchukua washindi 13 wa juu na mgombea anayeshika nafasi ya 14 huwekwa kama ‘reserve’.

HUYU NDO KIJANA ALIYEKAMATWA NA MWAKYEMBE AKISAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA JN-DAR

Image
Habari ambayo imeripotiwa na ITV inadai  kwamba baada ya siku moja ya ziara ya kushtukiza ya Waziri wa uchukuzi Dk. Harison Mwakyembe kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar-es-Salaam, kiasi kikubwa cha dawa za kulevya kimekamatwa uwanjani hapo katika harakati za kusafirishwa kwenda nchi za nje. Aliekamatwa ni kijana ambae alikua anazisafirisha hizo dawa zikiwemo bangi pia akielekea nchini Italia.

RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAOMBOLEZA KIFO CHA KATIBU MKUU IKULU MSTAAFU ABEL MWAISUMO

Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo huku Mama Salma Kikwete akisubiri zamu yake wakati walipokwenda kuomboleza na kufariji wafiwa  kwa msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu Marehemu Abel Mwaisumo aliyefariki juzi huko India alikokuwa anatibiwa. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 16, 2013. Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo  kwa msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu Marehemu Abel Mwaisumo aliyefariki majuzi huko India alikokuwa anatibiwa. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar es salaam  leo Agosti 16, 2013.    Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kuomboleza na kufariji wafiwa  kwa msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu Marehemu Abel Mwaisumo aliyefariki majuzi huko India alikokuwa anatibiwa. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar es...