MIKOROGO YAMUATHIRI WEMA SEPETU APOTEZA MVUTO....MICHIRIZI YAANZA KUPANDA USONI
Matumizi mabaya ya vipodozi yameanza kumuathiri wema Sepetu ambaye ni miss Tanzania 2006.. Wema ambaye umri wake bado haujamtupa , hivi sasa anakabiriwa na tatizo la ngozi kutokana na michirizi kusambaa mwili mzima hasa mapajani.... Kamera zetu si mara ya kwanza kumshuhudia Mrembo huyu akizingirwa na uzee kwani miezi kadhaa nyuma tuliwahi andika habari inayofanana na hii lakini ikielezea zaidi michirizi ya mapajani.... Tofauti na hivyo, hivi sasa michirizi hiyo imekimbilia kifuani na mabegani hali inayoashiria kwamba siku si nyingi itahamia usoni... "Ukweli Wema Sepetu sasa amebaki sura tu,mwili umemtupa kabisa .Nadhani hii yote inatokana na matumizi mabaya ya mikorogo" ...alisema shuhuda mmoja akimtazama Wema sepetu aliyekuwa jaji katika shindano moja la umiss jijini Dar Baada ya kumsikia shuhuda huyo akimtoa kasoro mrembo huy