Posts

Kutoka Viwanja Vya Leaders Club Mwili wa Albert Mangwea Ukiwa Tayari kwa Kuagwa na Ndugu na Jamaa

Image
   Mda huu ndio watu wanaingia taratibu taratibu kuja kutoa heshima zao za mwisho katika viwanja hivi vya leaders

MWILI WA MAREHEMU MANGWEA UKIWASILI KATIKA VIWANJA VYA LEADERS ASUBUHI HII...

Image

HUZUNI KUBWA YATANDA KATIKA KUPOKEA MWILI WA MANGWEAR

Image
 Mwili ukipelekwa  muhimbili.... Mwili wa Marehemu Albert Mangwea aliyefariki dunia May 28 huko Johannesburg leo umeingia Dar es salaam na kupelekwa moja kwa moja hospitali ya Muhimbili, umati wa watu  umefika uwanja wa ndege kushuhudia na kumpokea Ngwea.  

LIVE: SAFARI YA KUPELEKA MWILI WA MANGWEAR KTK HOSPITALI YA MUHIMBILI

Image
eMuda huu ni msafara wakumpeleka marehemu Albert Mangweha hosp kuu ya Mwimbili kumpumzisha. Hapa barabarani ni wananchi wamezuia gari lililobeba jeneza na wakitaka litolewe nje walibebe mpaka hospital ya Mwimbili.

MWILI WA ALBERT MANGWEA UKISUBIRIWA KUPOKELEWA HIVI SASA

Image
...

HUDDAH TOKA KENYA AYAAGA MASHINDANO YA BIG BROTHER..... MWAKILISHI WA TANZANIA ALIA NA WAVUTA BANGI

Image
                                                Maneno  huumba....!!!   Huddah  ameliaga  shindano hilo. Huddah ambaye ni mshiriki kutoka Kenya   alijikuta akibubujikwa na machozi  jana wakati akimuelezea Angelo (SA) kuhusiana na uhusiano wake wa kimapenzi ambao ni wa ku-beep yani vuta nikuvute ambao amekuwa nao nchini kwao. Mrembo huyo hakutaja jina la mpenzi wake lakini inahisiwa alimaanisha kuwa katika mahusiano na Rapper Prezzo wa Kenya. Kwa muda sasa kumekuwa na umbea mtaani kuhusiana na uhusiano wa kimapenzi kati ya wawili hao lakini haijafahamika kinaga ubaga kama Huddah alimaanisha kum-miss Mr. President....

SHINDALO LA MISS TABORA MAKALIO YAANIKWA WAZI MBELE YA WABUNGE

Image
Mmoja wa washabiki wa muziki wa kizazi kipya ambaye alivaa vazi lililoacha  matako  nje.... Shabiki huyo  alipanda jukwaani kumkumbatia  msanii  maarufu nchini , Ommy Dimpoz  wakati alipokuwa akitoa burudani katika mashindano ya Redds Miss Tabora. Tukio hilo la aibu lilitokea  mbele ya  wabunge.... Mbunge wa Jimbo la Sengerema  Bw.William Ngereja akiwa na Diwani wa kata ya Kitete manispaa ya Tabora Bw.Daniel Mhina ambaye alikuwa MC katika onesho hilo lililofanyika katika ukumbi wa Frankman Hotel mjini Tabora. Ommy Dimpoz akitokwa na machozi wakati akitumbuiza jukwaani alipofikia hatua ya kumkumbuka marehemu msanii  maarufu Mangwea. Ommy Dimpoz alionesha kukubalika zaidi katika onesho hilo Mbunge Ngereja akiwa na mbunge wa vitimaalum mkoani Tabora wakijaribu kucheza kwa pamoja muziki uliokuwa ukiimbwa na Ommy Dimpoz. Redds Miss Tabora 2013 Annastazia Donald(19)ambaye ni mwanafunzi wa Theofil Kisanji University,kushoto ni mshindi wa pili

KIJANA ANUSURIKA KUFA BAADA YA VIBAKA KUMCHOMA MOTO HUKO MKOANI LINDI

Image
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Ismai Mayoba(31) anayefanya kazi Bar ya Mangrove,Mkazi wa Manispaa ya Lindi amenusurika kifo baada ya kuvamiwa na kundi la Vijana waliotaka kumpora na hatimae kumchoma moto.  Kwa sasa kijana huyo amelazwa katika Hospital ya Sokoine Mjini humo. Kufuatia tukio hilo,Jeshi la Polisi wilayani Lindi limefanikiwa kumkamata mtu  mmoja kati ya watuhumiwa saba waliohusika na tukio hilo lilitokea katika eneo la Mtaa wa Congo. Akithibitisha kuwepo kwa tukio hilo na kukamatwa kwa mtuhumiwa,Afisa Mnadhimu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi,Renatha Mzinga alimtaja ndugu Ally Manially(22)mkazi wa mtaa wa Kongo kuwa anashikiliwa na Jeshi hilo na atafikishwa mahakamani leo kujibu shitaka la kujeruhi na kujipatia pesa kwa njia ya Udanganyifu ikiwa pamoja na kumchoma mwenzie Moto huku akijua ni kosa kisheria. Aidha Mzinga alieleza kuwa Jeshi la polisi linaendelea kutafuta watuhumiwa wengine 6 waliohusika na tukio hilo

PICHA ZA MATUKIO YANAYOENDELEA AFRIKA KUSINI ULIPO MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA

Image
Muonekano wa nje wa hospitali ya St Hellen Joseph, ulipokuwa mwili wa marehem Albert Mangwea Millard akifanya mahojiano na mmoja wa watanzania walioko Soth Africa Nje ya mochwari ya Serikali Hillbrow Johannesburg ulikohamishiwa mwili wa Ngwea ni Watanzania wakiongozwa na Kinje Ngomale Mwiru wakitazama sample ya majeneza mbalimbali ili wajue la kununua, hapa walikua na mfanyabiashara wa kampuni ambayo pia huwa inashughulika na kusafirisha miili ambapo gharama yake ni zaidi ya milioni nne na nusu. Millard Ayo akifanya interview na mmoja wa Watanzania nje ya hospitali alikolazwa M2TheP. \ REST IN PEACE NGWAIR

PICHA ZA MATUKIO YANAYOENDELEA AFRIKA KUSINI ULIPO MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA

Image
REST IN PEACE NGWAIR - Muonekano wa nje wa hospitali ya St Hellen Joseph, ulipokuwa mwili wa marehem Albert Mangwea Millard akifanya mahojiano na mmoja wa watanzania walioko Soth Africa Nje ya mochwari ya Serikali Hillbrow Johannesburg ulikohamishiwa mwili wa Ngwea ni Watanzania wakiongozwa na Kinje Ngomale Mwiru wakitazama sample ya majeneza mbalimbali ili wajue la kununua, hapa walikua na mfanyabiashara wa kampuni ambayo pia huwa inashughulika na kusafirisha miili ambapo gharama yake ni zaidi ya milioni nne na nusu. Millard Ayo akifanya interview na mmoja wa Watanzania nje ya hospitali alikolazwa M2TheP.