Lady Jaydee Kaolewa na Rastaman?

lady-jaydee-1Staa wa Bongo Fleva, Lady Jaydee ‘Anaconda’  akiwa katika matembezi na Rastaman.
lady-jaydee-2
Wakiwa katika mazungumzo matamatam katika Hoteli ya Serena visiwani Zanzibar.
.lady-jaydee-3
Akimshangaa Rastaman.
STAA wa Bongo Fleva, Lady Jaydee ‘Anaconda’  amenaswa akijiachia na Rastaman huyo sehemu mbalimbali wakiwa pamoja tokea  aachane na aliyekuwa  mume wake mtangazaji wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM,  Gardiner G Habash.
Picha hizo zimeibua sitofahamu kwa mashabiki wake wakijiuliza kweli Rastaman huyo  ndiye shemeji yao? Mtandao huu ulijaribu kumtafuta meneja wa msanii huyo Seven kwa kumpigia simu hakupokea na tuliamua kumtumia meseji mpaka tunziweka picha hizi alikuwa ajatoa majibu.

Comments

Popular posts from this blog