Komediani Kinyambe afariki dunia

James Kinyambe
Mohamed Abdallah a.k.a Kinyembe enzi za uhai wake.
Komediani aliyetamba kwa kubadilisha sura na sauti yake katika filamu za uchekeshaji nchini, Mohamed Abdallah a.k.a Kinyembe amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Kinyambe
Mpaka mauti yanamfika, Kinyambe alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Mbeya.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Kinyambe mahala pema peponi. Amen

Comments

Popular posts from this blog

PICHA ZA UTUPU ZILIZOPIGWA NA MWANAFUNZI WA UDOM ILI KUTANGAZA SOKO LA MWILI WAKE. TAZAMA HAPA