Idadi ya Wanawake wanaoendesha Ndege, Treni, Malori na Mabasi Tanzania imetajwa na Wizara ya uchukuzi
- Get link
- X
- Other Apps
Waziri
Mwakyembe amesema pamoja na ugumu wa kazi ya udereva Tanzania kuna
madereva Wanawake watatu wa mabasi makubwa na Wanawake wawili wa malori
ya mizigo kwenda Lubumbashi Congo.
Vilevile
kuna Wahandisi Wanawake 15 wa mitambo kuongozea ndege, kuna Wanawake 8
madereva wa Treni, marubani 8 Wanawake, waongoza ndege 16 Wanawake.

- Get link
- X
- Other Apps
Comments
Post a Comment