WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED WALIVYOTOKELEZEA NA WAKE ZAO KATIKA HAFLA YA KUCHAGUA MCHEZAJI WAO BORA 2014/15
Kipa wa Manchester United, David De Gea (kulia) akiojiwa na Jim Rosethal (katikati) baada ya kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2014/15 wa Man Utd usiku wa kuamkia leo. David De Gea (katikati) alipokuwa akiwasili katika tuzo za Mchezaji bora wa mwaka wa Man Utd. Wayne Rooney akiwa na mke wake Coleen. Mshambuliaji wa Man Utd, James Wilson akiwa na mke wake. Marcos Rojo akiwa na rafiki yake Eugenia Lusardo. Ben Amos akiwa katika pozi na Dani Every. Tyler Blackett akiwa na mke wake Naomi Thomas. Phil Jones akiwa katika pozi na mpenzi wake Kaya Hall. Ander Herrera akiwa na mchumba wake Isabel Collado. Chris Smalling akiwa na mpenzi wake Sam Cooke. Jonny Evans akiwa na mke wake Helen. Michael Carrick akiwa na mke wake Lisa. Victor Valdes akiwa na mpenzi wake Yolanda Cardona. Radamel Falcao akiwa na mke wake Lorelei. Anders Lindegaard akiwa na mke wake Misse Beqiri. KIPA wa Manchester United, David de Gea ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Man...