Posts

MILLEN HAPPINESS MAGESE: ASIMULIA AMBAVYO HAWEZI KUBEBA UJAUZITO, ASEMA YUPO TAYARI KUASILI

Image
Millen Happiness Magese. (ANAJIANDAA, anaonekana kuwa ni mtu mwenye hisia sana kabla ya kuanza kuzungumza, anamuuliza jambo Lucy Ngongoseke maarufu kwa jina la Lucy Kiwele ambaye anamwambia ajikaze azungumze, baada ya sekunde kadhaa anaanza kujielezea…) Naitwa Millen Happiness Magese ni mrembo wa Tanzania na Miss Tanzania wa mwaka 2001, kwa sasa nafanya kazi za mitindo nchini Marekani, kabla sijafika huko nilifanya kazi hiyo Afrika Kusini kwa miaka takribani nane. Nipo chini ya Kampuni ya Ford Models, nilisaini mkataba wa miaka minne na baada ya hapo nikasaini tena miaka miwili na ndiyo nilipo mpaka sasa. Miss Tanzania Mwaka 2001, Happiness Millen Magese akiwa ndani ya Global. Millen Magese Foundation Hii ni taasisi ambayo lengo kubwa ni kutoa msisitizo katika elimu. Suala hili linanihusu binafsi na ndiyo maana nalifanya kwa moyo, hapa Tanzania nimeanza na Mtwara baada ya hapo nitaendelea mikoa mingine. Hata nilipokuwa Miss Tanzania nililifanyia kazi suala ...

SAID MECKY SADICK AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA TYSON

Image
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akiaga mwili wa marehemu George Otieno 'Tyson' katika Viwanja vya Leaders, Dar. Said Mecky Sadick wakati akielekea kuaga mwili wa Tyson. Mwili wa marehemu George ukiandaliwa kwa ajili ya kuagwa.   Mwili wa George Tyson ukiagwa.

MKUU WA MKOA ANAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGAMWILI WA MAREHEMU GEORGE TYSON

Image
Jeneza lenye mwili wa marehemu George Otieno 'Tyson' likiwa Viwanja vya Leaders tayari kwa shughuli za kuagwa. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick (katikati) akiwa na Rais wa TAFF, Simon Mwakifwamba (wa kwanza kushoto) na Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere (wa pili kulia) wakisubiri kuongoza shughuli za kuaga mwili wa Tyson. Aliyekuwa mke wa marehemu, Yvonne Cherry 'Monalisa' (kulia) akilia kwa simanzi pamoja na mwanae aliyezaa na marehemu Tyson, Sonia (katikati).PICHA NA HAMIDA HASSAN WA GPL

HIZI NI FAIDA 12 ZA MACHUNGWA

Image
Kumbuka kuwa hata chungwa moja tu ukila lina kidhi yale mahitaji muhimu ya mwili ya kila siku (daily requirement), iwe chungwa lenyewe au juisi yake halisi. 1. UKOSEFU WA CHOO Kutokana kuwa na kiwango kikubwa cha kirutubisho aina ya kambalishe (fibre), chungwa husaidia usagaji wa chakula tumbuni na hutoa ahueni kwa mtu mwenye matatizo ya ukosefu wa choo. Aidha, kambalishe huondoa kolestro na huimarisha kiwango cha sukari mwilini, hivyo chungwa ni zuri kwa wagonjwa wa kisukari. 2.UGONJWA WA MOYO Kiwango kikubwa cha Vitamin C na virutubisho vya ‘flavonoids’, ‘phytonutrients’ vilivyomo kwenye chungwa, huondoa kwa mlaji hatari ya kupatwa na magonjwa ya moyo (Cardiovascular disease)! 3. SHINIKIZO LA DAMU Virutubisho vya Magnesi (Magnesium) na ‘hesperidin’ vilivyomo kwenye chungwa, husaidia kuondoa tatizo la shinikizo la damu la juu (high blood pressure), hivyo machungwa ni mazuri kwa wagonjwa wa presha. 4. UGONJWA WA MAPAFU Chungwa pia lina kiasi kikubwa ...

TAZAMA JINSI DIAMOND NA RAISI KIKWETE WANAVYOKULA BATA HUKO MAREKANI.

Image
Na haya Ndio maneno aliyoandika Msanii Diamond baada ya kukutana Na Rais " No where else you can get such a president who sacrifices his precious time to support his artist to get international connection than Tanzania/Home of peace and hospitality" 

INASIKITISHA SANA DUNIA IMEKWISHA...MSICHANA ABAKWA NA WANAUME ZAIDI YA 38

Image
Kuna baadhi ya binadamu wana roho mbaya zaidi ya wanyama wakali wa mwituni na ukisimuliwa matukio waliyofanya unaweza kujiuliza kama kweli ni binadamu au ‘mashetani’!  Siku mbili baada ya kuripotiwa habari ya kusikitisha ya wasichana wawili ndugu wa nchini India waliobakwa na baadae kunyongwa, mtandao wa MailOnline umeripoti tukio la ubakaji alilofanyiwa msichana mdogo mwenye umri wa miaka 15 na wanaume zaidi ya 38 nchini Malaysia.  Taarifa zinaeleza kuwa tukio hilo limefanyika Kaskazini mwa Kelantan, Malaysia, May 20 ambapo msichana huyo alienda sehemu fulani kukutana na rafiki yake mwenye umri wa miaka 17 lakini alijikuta akipelekwa kwenye jumba bovu wasiloishi watu.  Akiwa kwenye jumba hilo, msichana huyo alibakwa kwa zamu na wanaume hao ambao miongoni mwao ni kundi la watu wanaojihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya.  Msichana wa miaka 17 ambaye ni rafiki ya msichana huyo anasadikika kuwa ndiye aliyemtenezea mazingira ya kuingia miko...

DEVOTHA ATOA WOSIA WA KIFO CHAKE

Image
Stori: Gladness Mallya WAKATI vifo mfululizo vikitokea Mei mwaka huu miongoni mwa wasanii maarufu nchini, nyota wa filamu Bongo, Devotha Mbaga ameibuka na kusema endapo ataaga dunia, hahitaji kufanyiwa mbwembwe wakati wa msiba na mazishi yake kama wasanii wengine walivyofanyiwa. Msanii maarufu wa filamu Bongo, Devotha Mbaga. Akistorisha na gazeti hili, Devotha alisema hatahitaji kununuliwa jeneza la kifahari, bali lichongwe kwa mbao za kawaida na lisiwekwe mapambo yoyote, watu wasilie msibani kwake na kwamba endapo vitu hivyo vitakiukwa, basi mwili wake utagoma kubebeka. “Unajua duniani nimekuja uchi, sasa siku nikifa sitaki mbwembwe za kununuliwa jeneza la mamilioni wakati nimeacha watoto, ni bora hizo fedha wapewe wanangu ziwasaidie, vivyo hivyo pia sitaki watu walie kwa kuomboleza kwenye msiba wangu kwa sababu watakuwa wananiumiza tu, hata watoto na ndugu zangu nilishawaambia,” alisema Devotha. Devotha Mbaga (kulia) akiwa katika moja ya misiba ya wasanii wenzake....

ANGALIA PICHA ZA MAELFU YA WATU WAGAWANA NA KULA NYAMA YA KIBOKO TUNDUR

Image
 Wakazi wa wilaya ya Tunduru wakigawana  nyama ya Kiboko huku mmoja akimnyooshea mwenzie fimbo baada ya jamaa kutaka kuleta fujo wakati wa kugawana nyama hiyo. Na Steven Augustino wa demashonews, Tunduru WANANCHI wa Mji wa Tunduru Mkoani Ruvuma wamemuua  Kiboko aliye muua Mkazi wa Kitongoji cha Chacha katika Kijiji cha Mhuwesi katika kata ya Mhuwesi Tarafa ya Nakapanya Marehemu  Njaidi Selemani Njaidi (70) na kumla nyama yake bila kujali dini zao. Katika kuonesha kuwa Mnyama huyo analiwa na waumini wa dini zote Maelfu ya wananchi walijitokeza kumlinda asitoke hadi usiku wa saa 9 walipotokea askali wa idara ya wanyamapori na kumpiga risasi. Aidha hali ilikuwa tete baada ya Kiboko huyo kuuawa ambapo mamia ya vijana wenyeguvu walijitokeza na kujitosa katika bwawa hili na kuanza kumshambulia kwa kutakata nyama hiyo huku wakiwa wanagawana na mwisho kikaja Kivutio amakioja cha kuwatishia visu askari wa idara hiyo na kuwapora ndoo 8 za nya...

TANZANIA YA KWANZA AFRIKA MASHARIKI KATIKA USAFIRI WA MABASI YAENDAYO KASI – PINDA

Image
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Majadiliano wa Kutangaza Mradi wa Mabasi yaendayo haraka kwenye ukumbi wa Mlimani City jijiniDar es salaam Juni 3, 2014. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu,, Mizengo Pinda akizungumza na   Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini, Bw. Philippe Dongier baada ya kufungua Mkutano waMajadiliano wa kutangaza Mradi wa Mabasi yaendayo  haraka kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam  Juni 3, 3014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI  WAZIRI MKUU Mizengo Pinda  amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi za kwanza katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kuingia kwenye ubia nasekta binafsi katika mradi mkubwa wa usafirishaji abiria.  Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumanne, Juni 3, 2014) wakati akifungua ...

ANGALIA PICHA UKATILI DHIDI YA MTOTO AUAWA KWA KUFUNGWA PLASTA MDOMONI

Image
Mtoto aliyekutwa amefariki baada ya kutupwa eneo la Kawe-Beach na kufungwa plasta mdomoni na puani. KATIKA hali isiyo ya kawaida mwanamke mmoja ambaye hakujulikana jina lake wala kujua anapoishi, anasadikika kutenda ukatili na unyama wa hali juu kwa kumuua mwanaye na kisha kumtupa pembezoni mwa barabara ya kwenda Kawe-Beach. Wavuvi wa eneo hilo waliona mfuko pembezoni ukiwa na damu hali ambayo iliwashtua na kuamua kusogea karibu ndipo walipomkuta mtoto huyo mwenye jinsi ya kike akiwa amefariki huku akiwa amefungwa plasta mdomoni na puani.   Wakazi wa eneo la Kawe na wapita njia wakiangalia kichanga hicho baada ya kuokotwa na wavuvi.

ANGALIA PICHA ZA ASKARI FEKI WALIOKAMATWA MKOANI IRINGA

Image
Kamanda wa  polisi mkoa wa Iringa,Ramadhan Mungi akiwaonyesha maaskari  feki ambao  walikuwa wakifanya utapeli katika mikoa ya Iringa na Morogoro ,kulia ni Bazil Nyakunga ambae ni mwalimu akiwa na sare za polisi na katikati ni bossi wake Godlack Mbehale. Askari polisi Mkoani Iringa (kushoto) akiwa na maaskari  feki katika ofisi ya kamanda wa polisi  leo  Na Francis Godwin,Iringa MATAPELI washindwa  kubaki njia  kuu sasa waanza  michepuko  mipya ni baada ya jeshi la  polisi mkoa  wa Iringa kumkamata  mwalimu aliyejifanya askari akiwa na fullu kombati za jeshi la polisi na  bossi wake aliyevalia kiraia ambae pia ni  feki  na ni  mmiliki wa studio eneo la Kihesa mjini hapa Upo usemi  usemao  kuwa usiombe  likukute usilo litegemea kukukuta katika maisha yako na ukipenda kudanganya uwe tayari kudanganywa  ,hakuna asiyepata  kusikia ama kusoma h...

ANGALIA PICHA MAMIA YA WAKAZI WA MOROGORO WAJITOKEZA KUUGA MWILI WA MTOTO NASRA(MTOTO WA BOKSI),NA AMEZIKWA LEO

Image
 Mbunge Abdulaziz Abood akiweka udongo katika kaburi la marehemu Nasra na kuahidi kumfanyia hitma baada ya siku 40 tangu kuzikwa kwake. Mfanyabiashara Al Saed Omar nae akiweka udongo katika kaburi la marehemu. Mamia ya wakazi wa Mkoa wa Morogoro waliojitokeza Kuuga Mwili wa mtot Nasra  Mwili wa mtot Nasra ukipelekwa makaburini Kuzikwa  Waombolezaji wakiwa Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, kuaga mwili wa mtoto Nasra Mvungi.  Mfanyabiashara, Al Saed Omary aliyefanikisha kuleta mwili wa marehemu Nasra kutoka Dar es Salaam.  Waombolezaji wakiingia katika mabasi ya Abood, kwenda katika maziko.  Mazishi ya mtoto Nasra yaliendelea makaburi ya Kola mkoani Morogoro. Picha kwa Hisani ya Father Kidevu Blog