Posts

ANGALIA DAWA ZA KICHINA ZILIVYOHARIBUWANAOPENDA MAKALIO NA KUBABULIWA,

Image
  Wameshauliwa sana, wameimbiwa saaaana lakini wenye masikio ya kufa ambayo hayasikii dawa wanaendelea kupaka. Dada zetu jaman kama mungu kakuumba na vitako vidogo kama skonzi au ngumi za mtotovumilia tu. Hivi huoni aibu hata kidogo, leo unavitako vidogo kama vibumunda vya bakhresa kufumba na kufumbua una makalio kama umejazwa upepo. Huogopi hata watu watakustukia. Haya sasa kama unapenda hilo, jua na madhara yake pia...mwenzenu amebakisha makalio yaliyoumuka na kuvimba kama viazi vya kuchoma. SI UNAUTAKA UZURI WA MATAKO, PAKA TUKUONE KAMA HAUTAKUWA NA MAKALIO YALIYOPISHANA SIZE.....ISHI NA UZURI WAKO WA ASILI

ANGALIA JEZI MPYA ZA CLUB ZA ULAYA KWA MSIMU UJAO 2014-2015

Image
Manchester United 2014-15 Home & Away Kit   Arsenal 2014-15 Kit   Chelsea 2014-15 Home Away Kits     Liveprool 2014-15 Kits   Bayern Munich 2014-15 Home Away Third Kits     Tottenham 2014-15 Home & Away Kit   Real Madrid 2014-15 Home & Away Kits:   AC Milan 2014-2015 All Kits         FC Barcelona 2014-15   Paris Saint Germain (PSG) 2014-15 AS Roma 2014- 2015 Kits  

TAZAMA PICHA ZA UKATILI ZA KUKATWA MAPANGA ALIOFANYIWA MZEE NYANDEGE WA MUSOMA MJINI

Image
Mzee Nyandege ambaye ni mkazi wa Musoma mjini ni maarufu kwa jina la Mzee wa Masufuria kutokana na shughuli zake za ujasiliamali anazofanya, usiku wa kuamkaia jumapili mnamo masaa ya saa saba usiku alivamiwa na majambazi na kumdai awape pesa na alipokaidi amri hiyo aliweza katwa mapanga matatu, katika mapanga hayo mawili yalikuwa mkono wa kulia na moja mkono wa kushoto kama jinis anavyoonekana kwenye picha hapo chini, kwa sasa mzee huyu  amelazwa katika hospitali ya Mkoa ya Musoma kwa matibabu zaidi kama anavyoonekana katika picha mikono yake ikiwa haina kazi mara baada ya kukatwa mapanga

ANGALIA PICHA MWANAFUNZI DENTI MIAKA 12 AOLEWA

Image
Wastara akifanya usafi ndani kwake baada ya kuolewa. Na Denis Mtima na Mayasa Mariwata, Pwani YELEUWII!  Kuishi kwingi ni kuona mengi, kijana aliyejitambulisha kwa jina la Andrew Vincent (23) ambaye amemaliza kidato cha nne mwaka jana, amejikuta katikati ya matatizo kufuatia kufunga pingu za maisha na mwanafunzi wa darasa la tano aliyefahamika kwa jina moja la Wastara (12), wote wakazi wa Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Tukio hilo lilijiri Aprili 26, mwaka huu ambapo kikosi kazi cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ kilipokea taarifa kutoka kwa wasamaria wema wakilalamikia kitendo hicho na kutaka mwanafunzi huyo asaidiwe ili arudi shule. OFM kama kawaida yake, ilitinga eneo hilo kwa ajili ya kufuatilia taarifa hizo ambapo iliweza kuungana na mwalimu mkuu wa shule ya msingi anayosoma ‘bi harusi’ huyo, Hamad Mnaguzi na viongozi wengine wa kamati ya shule akiwemo mwenyekiti wa serikali ya kijiji, Shaban Zageni. Kijana aliyefahamika kwa jina la Andrew Vincent anayetuhumiw

ANGALIA MAAJABU YA MUNGU MWILI MMOJA VICHWA VIWILI.

Image
Mapacha hawa wanaitwa Abby na Brittany wamezaliwa mwaka 7/3/1990 nchini MAREKANI.  Mapacha hawa wameungana mwili na kuwa mwili mmoja wenye vichwa viwili, lakina chakushangaza zaidi kila mmoja anamfumo wake wa kupumua na moyo wake na maini yake, Vitu wanavyo changia ni mwili mmoja ikiwemo miguu miwili na mikono miwili.

DAWA ZA DICLOPA NA DICLOFENAC ZADAIWA KUWA NI HATARI KWA MATUMIZI YA BINADAMU

Image
Dawa za Diclopa na Diclofenac zadaiwa kuwa ni hatari kwa matumizi ya binadamu!  Radio Dutch Velle ya mjini Kolon Ujerumani jana ilitangaza kuwa Dawa Diclopa na Diclofenac ni hatari kwa matumizi ya binadamu, Imegundulika Vidonge hivyo husababisha kansa ya Ini na Ubongo,Ugonjwa wa moyo, Kiharusi, Vidonda vya Tumbo au kifo cha ghafla. Chanzo: Radio Dutch Velle

SHUKRANI KUTOKA KWA FAMILIA YA BW. PHARS MSIRIKALE

Image
Familia ya Bw. Phars Msirikale (Nyanda) inapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa wale wote walioshirikiana nasi kwa hali na mali katika msiba wa baba yetu mpendwa Mzee Msirikale.  Asanteni kwa sala na michango yenu Mungu awarudishie mara dufu pale mlipotoa. Roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu na apumzike kwa amani. Amina.  Marehemu mzaa Msirikale alipata ajali ya gari manamo 6/04/2014 majira ya saa mbili asubuhi na kupelekwa hospitali teule DDH ambapo alipoteza fahamu lakini tarehe 8 ya mwezi huu ilionekana alihitaji kufanyiwa uchunguzi zaidi na ndipo alipewa rufaa na kuhamishiwa hospitali ya rufaa Bugando Mwanza na kufanyiwa uchunguzi uliobaini kuwa alipata tatizo kichwani na damu kuvujia ndani.  Kwa bahati mbaya mnamo  tarehe 12 mwezi huu majira ya saa 10 jioni aliaga dunia na kuzikwa 15 mwezi huu,Bwana katoa na Bwana katwaa, Roho ya  marehemu ipumzike kwa amani

SIMBA WATUA SALAMA BUKOBA, WAFANYA MAZOEZI YAO YA MWISHO KAITABA

Image
Baadhi ya Viongozi wa Simba wakiteta jambo kwenye Uwanja wa Kaitaba leo hii jioni, Bila shaka ni swala zima la mtanange wao kesho na Kagera Sugar huku wakijiuliza maswali kadhaa na kuucheki uwanja wa Kaitaba jinsi ulivyo katika kipindi hiki. Kocha wa Simba Zdravko Logarusic hakuwepo kabisa kwenye Mazoezi Hapa Kaitaba na inaoneka hakuja na Wachezaji wake. Wachezaji wa Simba wakishuka kwenye basi lao kuingia kwenye uwanja wa Kaitaba, Tayari kufanya mazoezi kujiweka fiti na mtanange wa kesho na Wenyeji Kagera Sugar. Baadhi ya Wachezaji wa Simba wakiingia tayari kwenye nyasi za Kaitaba hapa Bukoba Safi sana...siku nyingi!!! Tayari kwa mazoezi.... Wachezaji wa Simba wakiomba dakika chache kabla ya mazoezi yao kwenye Uwanja wa Kaitaba jioni Wachezaji wa Simba wakiteta jambo kabla ya mazoezi, Kipa Ivo Mapunda (katikati) akiwacheki kwa karibu. Viongozi wa Simba wakiwacheki vijana wao wakijifua! Kesho tucheka na nyavu tuu.... Simba sc wanaingia katika mche