Posts

UNFORTUNATE LOVE SIMULIZI SEHEMU YA 1.

Image
katika maisha yangu ya kimapenzi nilishwahi kutoka na kufanya mapenzi na wanaume wanne na nikadanganywa, nikaumizwa na kukosa raha, nilikuwa natumiwa kama chombo starehe pasipo kujijua mimi mwenyewe ila ni mwanaume mmoja tu ambaye alinionjesha utamu wa mapenzi na kunipenda, kunijali na katika mikono yake nilihisi kama ni mwanamke wakipekee sana kuzidi wengi ne….. Ni kwasababu gani niliwahi kufanya mapenzi na wanaume wanne na ni mwanaume gani ndiye aliyenipa na kunionjesha utamu wa mapenzi??? Sikiliza kwa makini nikuelezee yalionitokea mpaka ikawa hivyo. SEHEMU YA 1. Naitwa sarah james, mimi ni mtoto wa pili wakike kutoka kwenye familia ya bwana James ambaye ni baba yangu mzazi na Anna amabaye ni mama yangu mzazi, Kwenye familia yetu tupo wanne; mimi; baba yangu; mama yangu na dada yangu aitwaye suzy.   Mimi pamoja na familia yetu tunaishi kinondoni, morocco na familia yetu ni tabaka la kati kwa maana sio maskini sana wala sio matajiri sana. Maisha yangu ya

VIONGOZI MBALIMBALI WAUAGA MWILI WA MAREHEMU BALOZI FULGENCE KAZAURA KATIKA KANISA LA MT. PETER JIJINI DAR LEO

Image
Jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura likiwa ndani ya Kanisa la Mt. Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam tayari kwa Ibada maalum ya kumuombea Marehemu huyo iliyofanyika mchana wa leo kanisani hapo.Picha zote na Othman Michuzi. Viongozi wa Kanisa hilo la Mt. Peter wakiwaongoza waomboleazaji kuaga Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura aliefariki Dunia juzi huko nchini India alikokwenda kwa ajili ya Matibabu. Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin Mkapa akiwaongoza waomboleazaji mbali mbali kutoa heshima za mwisho wakati wa kuaga Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura aliefariki Dunia juzi huko nchini India alikokwenda kwa ajili ya Matibabu. Ibada hii ya kuaga mwili wa Balozi Kazaura imefanyika mchana wa leo katika Kanisa la Mt. Peter, Osterbay jijini Dar es Salaa

TIPS ON HOW TO TEACH CHILDREN TO SING.

Image
1. Begin each lesson with some simple stretches and posture exercises . Not only is this important to teach the child to sing with good posture, but it actually teaches them how to properly participate in a voice lesson by giving them simple, achievable tasks to succeed. Children are very kinesthetic and love to do physical activities. 2. Work on simple breathing technique . when breathing in, the stomach should bulge. When breathing out, the stomach should tighten. The shoulders and chest should never raise or drop. You can work on this standing, or lying with a book on their stomach. Then practice hissing, buzzing, humming and eventually singing "Ah" by preparing with a good deep breath and steadily supporting with the stomach. Focus on getting good, even sounds while exhaling that do not sputter or die off. 3. Introduce the registers . Practice long glissando "sirens," lifting up into the upper register (sometimes called falsetto or

ANGALIA PICHA ZA ASKOFU BILLIONEA TANZANIA

Image
ASKOFU na Nabii George David ‘Geordavie’ wa Kanisa la Geordavie Ministry ‘Ngurumo ya Upako’ lililoko jijini Arusha na Kawe, Dar hivi karibuni alifanya mkutano mkubwa na kutikisa nchi  kwa kuwa na magari ya kifahari na ndege aina ya helikopta ‘chopa’ iliyokuwa ikirandaranda juu ya anga kulinda usalama wake, Uwazi lina ushuhuda wa kutosha. Katika mkutano huo uliofanyika Karatu mkoani Manyara, mwandishi wetu alishuhudia msafara wa Geordavie ambaye hutoa huduma ya uponyaji kwa njia za miujiza, ukiwavutia watu wengi kwa kuwa ulikuwa na ulinzi mkali ambao haujawahi kutokea. Mbali ya kuwa na chopa iliyokuwa ikiimarisha ulinzi ambayo ameinunua hivi karibuni, askofu huyo alikuwa na msururu wa magari yenye thamani kubwa yanayomfanya kutajwa kuwa tajiri kuliko maaskofu wengine wanatoa huduma katika makanisa ya kiroho Tanzania. Akiwa Karatu, mbali na ulinzi binafsi, Geordavie alikuwa akilindwa na askari wa jeshi la polisi, askari kanzu, Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghas