Posts

PICHA ZA WASANII WA NDANI(BONGO) WALIVYOKAMUA SAMBAMBA NA P-SQUARE "WEUSI WAKIFANYA YAO STEJINI"

Image
Joh Makini akilitawala jukwaa. Nikki wa Pili (kushoto) na G Nako wakifanya yao… Joh Makini akilitawala jukwaa. Nikki wa Pili (kushoto) na G Nako wakifanya yao stejini. Kundi la Weusi likiongozwa na Joh Makini likishambulia jukwaa la Leaders Club kabla P-Square hawajapanda usiku huu. PROFESA JAY AWADATISHA MASHABIKI NDANI YA LEADERS CLUB LADY JAYDEE AKIFANYA YAKE STEJINI Mwanamuziki Judith Wambura 'Lady Jaydee' au 'Anaconda' akiwapagawisha mashabiki wake waliohudhuria katika Viwanja vya Leader s Club usiku huu katika shoo wa wakali P-Square.…   MA MC KAZINI.. . MC Dullah akiwa kazini. Ma MC wakiwajibikia stejini. BEN POL AKILISHAMBULIA JUKWAA KATIKA YA SHOO YA P-SQUARE Mwanamuziki Ben Pol akiwasha moto katika steji ndani ya Viwanja vya Leaders usiku huu katika shoo ya P-Square Live in Dar.… LIVE KUTOKA LEADERS CLUB KATIKA SHOO YA P-SQARE ...

TAZAMA PICHA ZA P-SQUARE LIVE IN LEADERS CLUB WALIVYOWASHA MOTO

Image
Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square wakilivamia jukwaa la Leaders usiku huu.… Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square wakilivamia jukwaa la Leaders usiku huu. Mashabiki wakipagawa na shoo ya P-Square. (PICHA NA MUSA MATEJA /GPL) Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square wakilivamia jukwaa la Leaders usiku huu. Mashabiki wakipagawa na shoo ya P-Square.

"BREAKING NEWZ" PROF. BAREGU NAYE PIA AJIUZULU CHADEMA....MAJANGA HAYA CHADEMA!!!!

Image
 Habari zilizotufikia katika chumba chetu cha habari zinaeleza kuwa Mjumbe wa tume ya mabadiliko ya Katiba kutoka chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) ametoa kauli ya kujiondoa na kujiuzulu nafasi zake ndani ya Chama hicho kupelekea maamuzi yaliyofanywa na kikao cha kamati kuu ya chama hicho Huyu ni Mjumbe wa pili wa kamati kuu ya Chadema kuamua kujiuzulu wadhifa wake katika kipindi kisichozidi masaa 12. ENDELEA KUWA NASI KWA KULIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK ILI UPATE HABARI ZAIDI

MHE ZITTO KABWE, DK KITILA MKUMBO KUKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI KESHO

Image
Mheshimiwa Zitto Kabwe. Taarifa imetolewa kuwa Mheshimiwa Zitto Kabwe pamoja na Dk Kitila Mkumbo watakutana na wahariri na waandishi wa habari kesho siku ya Jumapili tarehe 24 Novemba 2013. Watatumia nafasi hii kutoa maoni na msimamo wao kuhusu maamuzi ya Kamati Kuu ya CHADEMA ya hivi karibuni. Mkutano huu na waandishi wa habari utafanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam kuanzia saa 5.00 asubuhi. Imetolewa na ofisi ya Mbunge Zitto Kabwe, Dar es Salaam. Jumamosi, 23 Novemba 2013. Dar es…

RAIS WA TFF AMEMPA SIKU 14 RAGE KUITISHA MKUTANO WA DHARURA KUANZIA LEO

Image
Rais wa TFF, Jamali Malinzi. Rais wa TFF, amempa Ismail Rage kuitisha mkutano mkuu wa dharura ndani ya siku 14 kuanzia leo kujadili mgogoro wa kiungozi unaoendelea klabuni hapo.

BAADA YA KUVULIWA CHEO CHADEMA, DK KITILA ASEMA BADO YUPO IMARA

Image
Dk. Kitila Mkumbo.   Juu ni ujumbe aliouandika Dk. Kitila Mkumbo kupitia akaunti yake ya Facebook baada ya kuvuliwa Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chadema jana pamoja na baadhi ya maoni ya wadau kuhusiana na ujumbe huo.