Posts

Daktari bandia anavyojadiliwa mtandaoni...!!

Image
Soma maoni ya watu juu ya huyu daktari bandia na wewe unaweza kutoa maoni yako Rodrick Kabangila 08:08 (3 hours ago) Huyo jamaa inasemekana alikuwa Muhimbili akipozi kama daktari kwa zaidi ya miaka minane na hivyo keshawaibia/kuwadhuru waTz miaka yote hiyo. Intelijensia ya Tz huwa iko busy na wapinzani tu sio kwa wahalifu kama hawa. Hatari sana. mngonge  08:58 (2 hours ago) Kweli haya ni makubwa kuliko, juzi juzi traffic bandia, afisa uhamihaji bandia na leo daktari bandia. Ipo haja ya kufanya ukaguzi wa ghafla mara kwa mara (spot check) kwa watumishi mbalimbali ili kubaini watu wa namna hii. Intelijensia mpo? Hatujui huyu amekwishadhuru maisha na kuwatapeli wangapi. Ama kweli hii ni bongo!!!

WEZI WA MTANDAO WAKAMATWA OFISI YA TIGO BUGURUNI

Image
Mrembo huyu ni mmoja wa watuhumiwa wa kesi hii ya wizi wa mtandao baada ya kutumia kitambulisho chake na kutaka kuja kurudisha line ambayo sio yake kwa kuahidiwa kupewa pesa kidogo kama ujira wake na katika melezo yake akasema hawatambui wahusika wenzake kwani amekutana nao tu sinza na wakampa dili hilo na kuamua kuchukua bajaji ambao iliwaleta mpaka ofisi za tigo buguruni rozana.(HM) Watuhumiwa wenzake wakificha sura zao huku wakitoa maelezo kwa wafanyakazi wa tigo na walinzi waliowatia chini ya ulinzi baaada ya kuweka mtego mzuri wa kuyanasa mataperli haya ya kimtandao Mmoja ya wafanyakazi mahiri wa tigo Bw Octavian Rweyendera ambaye alifanikisha kukamatwa kwa watuhumiwa hao akitoa maelezo kwa baadhi ya maafande wa polisi jinsi watuhumiwa walivyotaka kufanya wizi huo wa kimtandao. Chanzo: fullshangwe

Matokeo ya ligi kuu ya uingereza leo jumamosi:Mechi zote

Image
Liverpool 0-1 Southampton West Brom 3-0 Sunderland West Ham 2-3 Everton Newcastle 2-3 Hull City.                   Aston Villa 1-0 Norwich  Chelsea 2-0 Fulham 

YALIYOJIRI KATIKA MKUTANO WA KATIBA JANGWANI

Image
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye mkutano huo FREEMAN MBOWE. KOSA kubwa kuliko yote katika kudai haki ni woga. katiba haitapatikana kama tunaendelea kuwa waoga na wenye hofu. makundi mengi nje ya bunge yana hekima na busara. tunahitaji kukutana nao ili kuunganisha nguvu kudai katiba. way foward; -kuunganisha makundi nje ya bunge - sheria iliyopitishwa lazima irekebishwe.kama haitarekebishwa wapinzani watasusia mambo mengine yote. -polisi wamezuia maandamano: hatutaendelea kuwa kondoo.maandamano ni haki kwa hiyo tarehe 10.10 kuna maandano makubwa kudai katiba. NCHI NZIMA. modus operandi itatangazwa. -viongozi wa dini wasaidie kuhubiri umuhimu wa katiba -ccm wanaoona umuhimu wa katiba wanakaribishwa. -katiba inapaswa kutuunganisha. tarehe 10 oct itakuwa siku ya civil disobedience. -jumatano ijayo mkutano zanzibar. -sasa hakuna kuongea na kikwete. PICHA NA HUDUGU NG'AMILO Mbatia: Kitendo cha Zanzibar kufanya marekebisho makubwa ya Katiba

RAIS KIKWETE ATUNUKIWA SHAHADA YA UZAMIVU YA CHUO KIKUU CHA GUELPH JIMBONI ONTARIO, CANADA

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na    Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Dkt. Shukuru Kawambwa  na  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe kuelekea ukumbini  kutunukiwa Shahada Ijumaa Septemba 20, 2013   Nyimbo za taifa zikipigwa wakati wa sherehe za kumtunuku   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete aki  Shahada ya Uzamivu katika Chuo Kikuu Guelph jimboni Ontario, Canada,  Ijumaa Septemba 20, 2013 Sehemu ya umati ulioshuhudia  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa  kutunukiwa Shahada   ya Uzamivu ya  Chuo Kikuu cha Guelph  jimboni Ontario  Ijumaa Septemba 20, 2013   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akitunukiwa Shahada ya Uzamivu na Provost na Makamu wa Rais wa    Chuo Kikuu cha Guelph  jimboni Ontario,  Dkt Maure

KINANA AJILIPUA BUNDA,HAYUKO TAYARI KUONA WATENDAJI WA SERIKALI WANAIANGUSHA (CCM)

Image
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Busega Ndugu Paul Mzindakaya wakati alipowasili Wilaya ya Serengeti kata ya Nzugu Mkoani Mara  akitokea Wilaya Busega Mkoa mpya wa Simiyu na kuanza ziara ya siku 6 katika mkoa wa Mara, Akianzia Wilaya ya Bunda mkoani humo, Kinana amekagua miradi mbalimbali katika jimbo la Mwibara na Bunda na kufanya mkutano wa hadhara mjini Bunda akikemea watendaji wa serikali ambao hawataki kuwajibika. badala yake wamekalia kuvaa suti, kung’ang’ani vikao maofisini  huku  wakijilipa posho na kuwa “Mamangimeza” , Badala ya kuwatumikia wananchi. jambo ambalo Chama cha Mapinduzi ambacho ndicho kimeiweka serikali madarakani hakitakubali kuona baadhi ya watendaji hawatimizi wajibu wao kazini, Kitawawajibisha watendaji hao ili kutetea wananchi, Kinana amesema yuko tayari kujilipua ili kutetea wananchi na Chama cha Mapinduzi CCM  ili kurudisha heshima ya chama kama Mwalimu Julius Kambarage

Odama: Sijahongwa..vifaa vya kisasa kwa ajili ya utengenezaji filamu.

Image
Miezi kadhaa ikiwa imepita tangu mtayarishaji na mwigizaji wa filamu nchini Jennifer Kyaka ‘Odama’ kuanza kumiliki vifaa vya kisasa kwa ajili ya utengenezaji filamu, amesema kitu kinachomuumiza zaidi ni kwa baadhi ya watayarishaji kuamini kwamba fedha wanazotumia waigizaji wa kike kuandalia filamu wamehongwa.   Akizungumza Odama alisema hata maendeleo yake hayajatokana na kuhongwa. Anaongeza kuwa watayarishaji wa kike wamekuwa na changamoto nyingi sana katika uandaaji wa filamu nchini, lakini yeye ni mwanamke wa shoka kwani anajiamini kwa kile anachokifanya. “Kinachoniumiza ni hawa wenzetu kuamini kuwa watayarishaji wa kike fedha zao za kupewa na hawana uchungu nazo, hata wakipatana na wasanii kucheza katika filamu zao gharama huwa kubwa tofauti na waandaaji wa kiume wanaonekana wahangaikaji,” alisema. “Ninatengeneza filamu bila k

ANGALIA PICHA SHOPPING CENTRE ILIYOVAMIWA KENYA NA WATU ZAIDI YA 20 KUUAWA NA WENGINE KUCHUKULIWA MATEKA

Image
Hili ni jengo lililovamiwa Emergency medical staff treated some of the wounded near the building's entrance Security forces have surrounded the shopping centre Dozens of shoppers were given assistance in evacuating the area Children and families were taken to safety after the shootings began Walioshuhudia tukio hilo, wanasema kuwa maguruneti piya yalitumika. Polisi waliojihami kwa silaha wamezingira jengo la maduka liitwalo Westgate, katika mtaa wa Westlands, na kuna taarifa ya watu waliojeruhiwa wakitolewa hapo kwa machera. Kulikuwa na watu wengi wamenasa ndani ya jingo  hilo lakini kwasasa wengi wameokolea na wengine bado wanaendelea kuokolewa .Magari yaliyoegeshwa nje ya maduka  pia yameharibiwa kwa sira ha

SIMBA YAVUTWA SHATI NA MBEYA CITY

Image
 Simba Bila Mbeya City Fc Bila  Mashabiki wa Pande zote wakingoja mpira kwa hamu kubwa  Timu ya Simba na Mbeya City Fc wakiwa wanaingia uwanjani   Wachezaji wa Mbeya City Fc wakiwa wanasalimiana na Wachezaji wa Simba kabla ya Mechi kuanza   Wachezaji wa Timu zote Mbili wakiomba Dua  Mpira ukiwa umeanza kwa kasui   Hivi ndivyo Walivyo fanya mashambulizi ya kufunga goli la kwanza  Baada ya Simba kufunga Goli Mashabiki wa Simba wakishangilia goli la kwanza  Mashabiki wa Simba wakishangilia Goli la Pili  Mbeya City Fc wakishangilia Goli lao la kwanza Wachezaji wakiwa wanatoka kwa ajili ya Mapumziko