Mgambo Atokomea na Milioni 17 za Ushuru

Mgambo mmoja aliyekuwa akikusanya fedha za ushuru wa maegesho ya malori Igunga Mjini mkoani Tabora, Peter Areray amekimbia na fedha hizo Sh milioni 17,253,000.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga, Revocatus Kuuli amethibitisha mgambo huyo kutoroka na fedha hizo alizokuwa amekusanya katika kipindi cha mwaka 2019.

Comments

Popular posts from this blog