Mobetto Amtambulisha Mrithi wa Penzi la Diamond

MWANAMITINDO maarufu Bongo, Hamissa Mobetto amevunja ukimya na kuamua kumtambulisha mpenzi wake mpya baada ya kuachana na mzazi mwenzake ambaye pia ni msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Hamisa amepost picha akiwa na mwanaume huyo ambaye jina lake halijajulikana mpaka sasa hivi na kisha akaandika;“Roho Mkalia Moyo”
Ikumbukwe kuwa Hamisa kwa sasa yuko nchini Marekani katika tour yake akiwa na msanii Christian Bella.

You May Like
Mgid

Comments

Popular posts from this blog