Tambua faida ya matumizi ya Choya (rosela) kiafya


Rosela ni ni maua yanayo julikana kabisa  pia  huoeshwa au kupandwa mazingira ya kawaida haswa nyumbani, maua haya yanapatikana kirahisi katika nyumba za ndugu, jamaa na marafiki na sehemu zinginezo japo kuwa baadhi ya watu huyaita maua damu.

Zifuatazo ni faida za kutumia rozela.
Maua ya rosella utengenezwa juisi inayo ongeza damu mwilini kwa haraka
Hutumiwa kama mboga na mbegu zake hutoa mafuta yanayo tumika kama dawa ya vidonda.

Dawa ya magonjwa mbalimbali kama kushusha presha, sukari, uric acid mwilini, inatibu kikohozi na mafua, ina punguza mwili pia hutengeneza ngozi na kuifanya iwe laini.

Maua ya rosela hutumika kutengenezea juisi , chai ,jam, pia hutumiwa kama rangi ya chakula.

Faida zinginezo;
Maua ya rosella yana vitamin C,A,D B1,B2,calcium,magnesium,iron, nk

Muhimu.
Kulingana na matumizi na faida za maua ya rosella ni vyema kupanda kwa wingi maua haya katika mazingira ya nyumbani kama ya navyo pandwa maua mengine ili iwe rahisi kuyapata pindi yanapo hitajika.

Comments

Popular posts from this blog