Mashabiki watoa ya moyoni baada ya Diamond kumpost Irene Uwoya

 Wiki hii wakati muimbaji Diamond Platnumz anahojiwa na Wasafi TV alifunguka mambo mbalimbali kuhusu maisha yake pamoja na kueleza kuwa kwa sasa hayupo kwenye mahusiano na mwanamke yeyote.

Hatua hiyo ilikuja baada ya muimbaji huyo kumtuhumu Hamisa Mobetto ambaye ni mzazi mwenzake kwamba alienda kwa mganga ili airoge familia yake.

Ijumaa hii muimbaji huyo ameibua hisia tofauti mtandaoni kwa mashibiki wake na wadau wa burudani baada ya kupost picha ya mke wa rapa Dogo Janja, Irene Uwoya bila kuandika ujumbe wowote.


Kama unavyojua picha inazungumza zaidi ya maneno 1000 ambapo wadau wengi katika mitandao ya kijamii wamekuwa na maoni tofauti huku wengi wakihisi msanii huyo anatafuta kiki kupitia mrembo huyo.

Angalia maoni ya mashabiki hao.

masikini_jr

Kuwa Star ili uwe na amani oa mwanamke mwenye sura ya babake kwasababu Mdogo wake dullysykes anapenda ku review mafile mazuri kama yote duh!!! Sasa janjaro kama nakuona 😂 😂 😂

saidsabin70

@evansmbesigwe hii nchi ilihitaji watu wenye akili kama wewe kaka nadhani tungepiga hatua moja au mbili kwenye uchumi tumekuwa na kizazi cha ajabu sana mpaka wanaume ni wambea yani daaaaah poor Tanzania poor people poor idea kweli kuwa kiongozi nchi kama hizi inahitaji kuwa unawaombea wananchi wako kwa mungu kila unapolala na unapoamka daaah hii ni shida kubwa sana mambo ya msingi hawasemi ujinga wanasema eti sababu bando wananunua wenyewe
Jenipher_pius

Tueleweshe tu kaka maana tuna baki tuki jiuliza maswali yasiyo na majibu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂@diamondplatnumz.

armani_boy001

Yni umefanana nae kwani mwanamke mwenzio hyo ama ni nani cz kasuka kama ww amevaa kikuku kama wewe wacha kueka wake za watu boss lady kma amekuacha tulia uceke wake za watu acha usenge boss lady atarudi

shaban255

Kwani huyu jamaa akikaa kimya bila yakiki kunatatizo? Mbona yupo juu tatizo nini? Mala katoboa pua mala kavaa kikuku mala kasuka rasta zakike simuelewi hata kidogo mbona king kiba katilia haya unaenda kumposti mke wammtu bila mpango wowote bila sababu yamsingi badilika bahna punguza ushamba endelea kupiga kazi sio kutafuta kiki zisizo nampango.

Comments

Popular posts from this blog