WASANII WAJITOKEZA KUMUAGA MZEE MAJUTO

12
Msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platnumz (mwenye kanzu nyeupe) akibeba jeneza la mwili wa aliyekuwa nguli wa filamu za uchekeshaji nchini, Amri Athumani ‘King Majuto’ baada ya kumalizika kwa shughuli ya kuuaga mwili wake iliyofanyika leo tarehe 9 Agosti, 2018 kwenye viwanja vya Karim Jee vilivyoko jijini Dar es Salaam.
11
Msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platnumz akibeba jeneza la mwili wa aliyekuwa nguli wa filamu za uchekeshaji nchini, Amri Athumani ‘King Majuto’.
21
Msanii wa Bongo Movie, Jacob Steven ‘JB’ akizungumza na wanahabari wakati wa shughuli ya kuuaga mwili wa marehemu Mzee Majuto. 
19
Msanii wa Bongo Movie, Single Mtambalike (wa kulia) akizungumza na msanii mwenzake, Mzee Hashim Kambi (wa kushoto).
17

Comments

Popular posts from this blog