WAKILI Jeremiah Mtobesya aliyekuwa akiwawakilisha Mwenyekiti wa Chama
cha demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wenzake
nane wa chama hicho, amejitoa kwenye kesi hiyo leo Agosti 23 mbele ya
Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri.
Mtobesya amejitoa katika kesi hiyo baada ya Mahakama ya Hakimu Kisutu
kutupilia mbali maombi yao ya kutaka kesi hiyo ya jinai namba 112 ya
mwaka 2018 iahirishwe katika Mahakama ya Kisutu ili kusubiri maombi yao
na rufaa yaliyowasilishwa kwenye Mahakama ya Rufani yasikilizwe kwanza
na kutolewa maamuzi.
Kwa upande wake, hakimu Mashauri alitupilia mbali maombi hayo kwa
maelezo kwamba, kifungu cha sheria walichotumia cha 225 (1) (2) cha
Mwenendo wa Mashauri ya Jinai Sura ya 20 iliyofanyiwa marekebisho mwaka
2002 hakiipi mamlaka hayo.
Ikumbukwe kwamba, Mbowe na wenzake wanakabiliwa na mashtaka 13 ikiwamo
kuhamasisha maandamano Februari 16 mwaka huu siku moja ya uchaguzi mdogo
wa ubunge jimbo la Kinondoni yaliyosababisha mwanafuzni Akwilina kuuawa
kwa risasi.
Picha za msichana zavuja mtandaoni kisa ni tabia yake ya kubadilisha wamaume kama nguo, ndipo jamaa akaamua kumpiga picha na kuzitupia katika mtandao KAMA UTAPENDA HIZI PICHA BONYEZA HAPA ILA NI WATU WAZIMA TU 18 + BOFYA HAPA PICHA 1 BOFYA HAPA PICHA 2 BOFYA HAPA PICHA 3 BOFYA HAPA PICHA 4
Picha chafu za msanii nyota wa bongo movie Edward Tem “Nick” zimevuja zikimuonesha akiwa na wanawake zaidi ya watano wakimchezea nyeti zake. Ikumbukwe kwamba wiki kdhaa za nyuma jamaa huyo aliwahi kufumaniwa gesti na msanii mchanga wa kike ambaye ni mke wa mtu na sakata hilo liliishia kituo cha Polisi baada ya msanii huyo kuridhia kumlipa mwenye mke kiasi cha shilingi laki tano.
Comments
Post a Comment