
Muonekano wa basi la shule ya Kivulini baada ya ajali.

Basi la shule ya Nyamunge likionekana baada ya ajali.
Mabasi mawili ya wanafunzi ya Shule za Kivulini na Nyamunge
yamengana uso kwa uso katika Barabara ya Mwanza–Simiyu katika eneo la
Nane Nane mkoani Mwanza na kusababisha kifo cha dereva na wanafunzi
wanane wa shule hizo kujeruhiwa.
Comments
Post a Comment