MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA CCBRT JIJINI DAR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimjulia
hali mtoto Luke Maulid mwenye umri wa miaka 4 kutoka Mtwara
ambaye anapata matibabu ya
mguu katika hospitali ya CCBRT.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza
na Bibi Helena Mjinja mwenye umri wa miaka 64 kutoka Musoma
anayepata matibabu ya Fistula
katika hospitali ya CCBRT jijini
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akipata
maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Hospitali ya
CCBRT Bw.Erwin Telemans juu
ya utengenezaji wa viungo bandia
vinavyotengenezwa kwa utaalamu wa hali ya juu.
Baadhi ya watoto wanaopata matibabu katika hospitali hiyo wakicheza mbele ya Makamu wa Rais,
Samia Suluhu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akipata
maelezo juu ya utengenezwaji wa macho bandia kutoka kwa Mtaalamu
wa Macho wa Hospitali
ya CCBRT Bi. Rehema S. Semindu.
Akiendelea kutembelea wagonjwa hospitalini hapo.
Comments
Post a Comment