SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MHE. JAJI MKUU, PROF. IBRAHIM JUMA LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

V25A9693
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiongozana na Mhe. Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma (kushoto) wakielekea katika Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
V25A9752
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia)akizungumza na Mhe. Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma (kushoto) alipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
V25A9707
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiteta jambo na Mhe. Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma (kushoto) alipomtembelea leo ndani ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
V25A9719
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiteta jambo na Mhe. Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma (kushoto) alipomtembelea leo ndani ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma. Wengine ni wageni Mbali mbali waliokuja kushuhudia jinsi Bunge linavyofanya kazi yake
V25A9736
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akipunga mikono pamoja na Mhe. Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma (kushoto) baada ya kutambulishwa leo ndani ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
V25A9755
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma (kushoto) alipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
(PICHA NA DEONISIUS SIMBA – OFISI YA BUNGE

Comments

Popular posts from this blog