RATIBA YA SPORTPESA SUPER CUP HII HAPA KUNA ASILIMIA 90 SIMBA NA YANGA KUKUTANA NUSU FAINALI

DSC_0267
Michuano ya SportPesa Super Cup inatarajia kuanza Juni 3 ,2018 kwa timu nane kushirikia ambazo zinadhaminiwa na Kampuni hiyo kubashiri Matokeo Bingwa wa Mashindano hayo atapata nafasi ya kwenda kucheza na Everton nchini Uingereza.
Watani wa Jadi Simba na Yanga kuna uwezekano Mkubwa wakakutana Nusu Fainali ya Michuano hiyo huku Derby ya Mashemeji huenda ikatokea tena kama walivyokutana kwenye Fainali ya Msimu uliopita walipocheza uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam.
Ratiba Kamili ni:
Robo Fainali
03/06/2018
13:00 Kakamega Home Boys vs Yanga sc
15:15 Gor Mahia vs JKU
04/06/2018
15:00 Kariobangi Sharks vs Simba Sc
05/06/2018
15:00 AFC Leopards vs Singida United
Nusu Fainali
07/06/2018
13:00 Winner (Gor Mahia vs JKU) vs (AFC Leorpard s vs Singida Utd)
15:15 Winner (Kakamega Home Boys vs Yanga Sc) vs ( Kariobangi Sharks vs Simba Sc)
Mshindi wa tatu
10/06/2018
12:00 Loser Nusu Fainali
Fainali
10/06/2018
15:00 Winner Nusu Fainali

Comments

Popular posts from this blog