Mkapa, Mangula, Mwenyekiti UVCCM Wamtembelea Magufuli Ikulu – Pichaz
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika mazungumzo na Rais mstaafu wa Awamu ya tatu Benjamin Mkapa
(kushoto) pamoja na Makamu wa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara
Philip Mangula Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Magufuli akijadiliana jambo na mzee Mkapa (kulia) pamoja na
Mangula (kushoto) mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Magufuli
akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Dkt. Edmund
Mndolwa, Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Gaudensia
Kabaka pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana (UVCCM) Herry
James mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Magufuli
akiwa katika picha ya pamoja na Mndolwa, Kabaka pamoja na Herry James
mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Magufuli
akiagana na Herry James mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu
jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa
Tanzania (UWT) Gaudensia Kabaka
Magufuli
akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Dkt. Edmund
Mndolwa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa
Vijana(UVCCM) Herry James Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment