RC GAMBO AONGOZA MAZISHI YA LEYLA ARUSHA
MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, leo ameongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Leyla aliyeuawa na mumewe kwa kuchomwa visu na mumewe huko Uingereza wiki kadhaa zilizopita.
Mazishi hayo yamefanyika katika makaburi ya Sinoni jijini Arusha.
Kaburi la marehemu Leyla likiwekwa sawa baada ya mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Sinoni jijini Arusha leo.
Mwili
wa marehemu Leyla aliyeuawa na mumewe kwa kuchomwa visu na mumewe huko
Uingereza wiki kadhaa zilizopita ukipelekwa makaburini.
Mazishi yakiendelea.
(Habari na Korumba Moshi, Arusha)
Comments
Post a Comment