Rais Magufuli leo ameungana na Wakristo wote Tanzania katika
maadhimisho ya Misa Takatifu ya sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika
Kanisa la Mtakatifu Joseph, Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakilakiwa kwa furaha na Paroko Msaidizi
Venance Tegete walipojumuika na waumini wengine katika Maadhimisho ya
Misa ya Sikukuu ya Pasaka katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar
es salaam leo Jumapili Aprili 1, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli na waumini wengine wakisikiliza kwa makini
mahubiri ya Paroko Msaidizi Venance Tegete katika Maadhimisho ya Misa ya
Ibada ya sikukuu ya Pasaka katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar
es salaam leo Jumapili Aprili 1, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa sadaka katika Maadhimisho ya Misa
ya Ibada ya sikukuu ya Pasaka katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini
Dar es salaam leo Jumapili Aprili 1, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
na mkewe Mama Janeth Magufuli na waumini wengine wakifurahia jambo
wakati wa mahubiri ya Paroko Msaidizi Venance Tegete katika Maadhimisho
ya Misa ya Ibada ya sikukuu ya Pasaka katika kanisa la Mtakatifu Joseph
jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 1, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakiagana na waumini wengine baada ya
Maadhimisho ya Misa Ibada ya sikukuu ya Pasaka katika kanisa la
Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 1, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimia waumini wenzie baada ya Maadhimisho ya Misa Ibada ya sikukuu
ya Pasaka katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam leo
Jumapili Aprili 1, 2018
Comments
Post a Comment