Gabo, Wema na Kitale walivyoshinda tuzo za SZIFF April 1

Usiku wa April 1 2018 Mlimani City Dar es Salaam zilifanyika tuzo za Sinema Zetu International Film Festival SZIFF na kuhudhuriwa na mastaa na watu mbalimbali kutoka tasnia tofauti tofauti.

Rais mstaafu wa awamu ya nne Dr Jakaya Mrisho Kikwete ndio alikuwa mgeni rasmi na alishuhudia tuzo 19 zikitolewa kwa wasanii wa filamu, watayarishaji, wahariri na wabunifu wa sound track za movie hiyo.

Miongoni mwa mastaa wa filamu waliyofanikiwa kushinda tuzo hizo ni pamoja na muigizaji Wema Sepetu aliyeshinda tuzo mbili za Best Actress na People’s Choice Award na Gabo ambaye ameshinda tuzo ya Best Actor huku Kitale akishinda tuzo ya Best Comedian.

Alichozungumza Wema Sepetu baada ya ushindi wa tuzo ya Best Actress

Comments

Popular posts from this blog