WAZIRI MWAKYEMBE AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA MAAFISA HABARI, MAWASILIANO NA UHUSIANO SERIKALINI
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe
akizungumza na Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wakati
wa ufunguzi mkutano wa 14 wa kikao kazi cha Maafisa hao kilichoanza leo
Jumatatu tarehe 12-16 Machi, 2018 Jijini Arusha.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Susan Mlawi
akizungumza na Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wakati
wa ufunguzi mkutano wa 14 wa kikao kazi cha Maafisa hao kilichaonza leo
Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018 Jijini Arusha.
Mwakilishi
Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa (UN) nchini, Alvaro Rodriguez
akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha Maafisa Habari na
Mawasiliano Serikalini kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018
Jijini Arusha.
Kaimu
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Gabriel Daqqaro akuzungmza na Maafisa Habari,
Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wakati wa ufunguzi mkutano wa 14 wa
kikao kazi cha Maafisa hao kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16
Machi,2018 Jijini Arusha.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe
akifurahia jambo na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini ,
Alvaro Rodriguez wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 14 wa Maafisa Habari,
Mawasiliano na Uhusiano Serikalini kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16
Machi,2018 Jijini Arusha..
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akiteta
jambo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Elishilia Kaaya mara
wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 14 wa Maafisa Habari, Mawasiliano na
Uhusiano Serikalini kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018
Jijini Arusha.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe
akimkabidhi cheti cha shukrani ya udhamini wa mkutano wa 14 wa Maafisa
Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini, Mhariri Mtendaji wa Kampuni
ya Magazeti ya Serikali (TSN), Dkt. Jimmy Yonas wakati wa kutoa vyeti
kwa wadhamini wa kikao kazi hicho kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16
Machi,2018 Jijini Arusha.
Mhariri
Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Dkt Jimmy Yonas
akizungumza jambo na aliyekuwa kuwa Katibu wa Hayati Baba wa Taifa, Mzee
Kasoli wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 14 wa Maafisa Habari,
Mawasiliano na Uhusiano Serikalini kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16
Machi,2018 Jijini Arusha.
Baadhi
ya Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wakipata
maelekezo kuhusu taratibu mbalimbali za usajili katika mkutano wa 14 wa
kikao kazi chao kilichoanza leo Jumatatu Machi 12-16 Jijini Arusha.
Mkurugenzi
Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Rodney Thadues akimwongoza
Mhariri Mtendaji wa Makampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Dkt. Jimmy
Yonas kuelekea katika ukumbi wa mikutano kwa ajili ya ufunguzi wa
mkutano huo leo Jumatatu Machi 12, 2018 katika ukumbi wa kituo cha
Mikutano cha Kimataifa wa Arusha.
Mkurugenzi
Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Rodney Thadues akimwongoza
Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN) Alvaro Rodriguez kuelekea
katika ukumbi wa mikutano kwa ajili ya ufunguzi wa mkutano huo leo
Jumatatu Machi 12, 2018 katika ukumbi wa kituo cha Mikutano cha
Kimataifa wa Arusha
(PICHA NA MAELEZO)
Comments
Post a Comment