Wawili Mbaroni kwa Kuhamasisha Maandamano

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano kupitia kwenye mitandao ya kijamii wakitumia simu zao za mikononi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amesema hayo leo Machi 21, 2018 na kuongeza kuwa watu hao wamekua wakisambaza ujumbe kwenye mitandao ya kijamii kuhamasisha watu kuandamana Aprili 26 mwaka huu

Comments

Popular posts from this blog