Vyakula vya Kukufanya Usizeeke
KIINI CHA YAI
LEO kwenye safu hii
nitakuletea vyakula ambavyo ukila vitakufanya usizeeke kwani siku hizi
watu wanazeeka haraka licha ya kuwa na umri mdogo. Kama unataka kusafisha ubongo wako ambao huchoka mara kwa mara tumia kiini cha yai, kina wingi wa Klorine ambayo ni virutubisho muhimu vinavyowezesha ubongo kufanya kazi.
COCOA
KAHAWA NA MAFUTA YA NAZI
Kama wewe ni mtu mwenye msongo wa mawazo mara kwa mara tumia mafuta ya maboga yana wingi wa asidi ya amino na glutamate ambayo yanasaidia ubongo kukaa sawa na wewe kujisikia vizuri.
Mafuta haya ni mazuri kuyatumia hata kwa mtu mwenye mba kichwani ili kuzitibu yapake kwenye ngozi wakati wa kulala. Kwa ujumla hivi ndivyo vyakula vinavyokufanya usizeeke kama utatumia ipasavyo kwani kila kimoja kina kitu kinachoimarisha kwenye mwili wa binadamu ambacho kama kitakaa vibaya kitakufanya uzeeke.
Comments
Post a Comment