Naibu Waziri Mavunde Kalazwa Morogoro
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Anthony Mavundeakiwa kalala kitandani Hospitali ya Mkoa wa Morogoro.
Mavunde amesema alipelekwa hospitalini hapo usiku wa kuamkia Jumapili baada ya kujisikia vibaya na saivi anaendelea kupatiwa matibabu
Comments
Post a Comment