Ikulu Yakanusha Taarifa Dhidi Ya Waziri Hamis Kigwangala

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa amekanusha kuwa Rais Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala kwa mujibu wa barua inayosambaa kwenye mitandao kuwa ni uzushi na imetengenezwa na wahalifu.



       Alichokisema Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa.
Barua inayosambaa kwenye mitandao ambayo imetengenezwa na wahalifu.


Comments

Popular posts from this blog