1. Mafuta ya nazi kwa afya ya Moyo: Mafuta
ya nazi yana asidi mhimu sana kwa afya ya moyo iitwayo ‘lauric acid’
ambayo ina uwezo mkubwa kuuweka moyo wako katika hali ya afya na furaha
kwa kuidhibiti kolesteroli/lehemu mbaya katika moyo na mwili kwa ujumla.
Lauric acid huongeza uwepo wa kolesteroli nzuri mwilini ijulikanayo kwa
kitaalamu kama High Density Lipoprotein (HDL) huku ikiishusha ile
kolesteroli mbaya ijulikanayo pia kwa kitaalamu kama Low Density
Lipoprotein (LDL) jambo ambalo ni mhimu kwa afya ya moyo kama anavyosema
Lovisa Nilsson, mtaalamu wa lishe wa Lifesum.
2. Mafuta ya nazi huuongezea nguvu mfumo wa mmeng’enyo wa chakula: Hii
ndiyo moja ya faida ya mafuta ya nazi niipendayo zaidi. Ndiyo mafuta ya
nazi yanayo uwezo kusaidia kudhibiti uzito uliozidi kwa sababu mafuta
haya ni mepesi kumeng’enywa na hayagandi kama yalivyo mafuta mengine
mazito (fatty acids) jambo linalosaidia kuuondoa uzito uliozidi mwilini.
Kutokana na kitendo hiki cha kuongeza uwezo wa mwili kukimeng’enya
chakula, watu wanaoyatumia mafuta haya kupikia vyakula vyao kila siku
kwa kawaida huwa na uzito wa kawaida. Anasema Geeta Sidhu Robb, mtaalamu
wa lishe na mwanzilishi wa Nosh Detox.
3. Mafuta ya nazi hung’arisha ngozi: Siyo
sehemu za ndani tu ya mwili zinazofaidika na mafuta haya ya nazi kama
yanavyofanya mafuta mengine ya asili, kama unataka kuwa na ngozi nzuri
yenye mng’aro na yenye afya na yenye muonekano wa asili basi paka mafuta
ya nazi kila siku kwenye ngozi yako, mafuta ya nazi yana uwezo mkubwa
katika kuua bakteria, virusi, na vijidudu vya aina yeyote vinavyoweza
kuidhuru ngozi, haya ni mafuta kwa mwili mzima yaani pakaa kwenye ngozi
yote usoni, mwilini, kwenye nywele na kwenye kucha. Pia unaruhusiwa
kuyatumia mafuta haya wakati wa masaji. 4. Huongeza nguvu mwilini: Mafuta
ya nazi ni chanzo kizuri cha nguvu ya mwili kwani yana sifa ya kuelea
kwa kiasi kidogo kwenye damu ‘medium chain triglycerides – MCT’ ambapo
sifa hii huyafanya kusafirishwa moja kwa moja hadi kwenye ini ambako
hutumika kama chanzo cha haraka cha nguvu au hubadililishwa kuwa
‘ketones’ ambacho ni chakula cha ubongo. Kwahiyo ikiwa unatafuta lift ya
kuinua nguvu yako basi chukua kijiko kimoja cha chai cha mafuta ya nazi
weka kwenye kikombe chako cha juisi au uji na utaona maajabu.
5. Ni mafuta mubadala ya kupikia yenye afya: Tofauti
na mafuta ya alizeti au hata mafuta ya zeituni, kupika chakula kwa
mafuta ya nazi ni zaidi ya afya. Mafuta haya yana uwezo mkubwa wa
kuungua na bado yakabaki na viinilishe vyake kama kawaida hata baada ya
kuunguzwa au kuchomwa katika moto, hii ni kwamba mafuta kama ya zeituni
ambayo huweza kuliwa hata yakiwa mabichi lakini yanapochomwa katika moto
basi ubora wake hupungua au kwa maneno mengine huzalisha taka sumu kama
ilivyo kwa vitu vingi vinapounguzwa lakini hili halitokei kwa mafuta ya
nazi! 6. Ni mafuta mazuri kwa wasiopenda kutumia mafuta yatokanayo na wanyama: Siyo
kupika tu na mafuta ya nazi ndiko huleta afya, bali pia ni mafuta
mazuri kwa wasiopenda kutumia mafuta yatokanayo na wanyama kama mubadala
kwa siagi au vitu vingine mnavyopaka juu ya mikate mnapokula. Hii nikwa
sababu mafuta ya nazi hubaki kuwa magumu hata katika joto la kawaida la
chumba tofauti na mafuta mengine.
7. Huzuia maradhi mengi hatari mwilini: Kama
ilivyo katika kuipunguza kolesteroli, mafuta ya nazi yanao uwezo mkubwa
katika kuzuia na kutibu magonjwa mengine sababu ya kuwa na kiasi kingi
cha asidi iitwayo lauric acid. Utafiti mwingi umeendelea kuthibitisha
kuwa hii lauric asidi hubadilishwa kuwa asidi mafuta nyingine
ijulikanayo kwa kitaalamu kama ‘monolaurin’ ambayo inayo sifa ya
kudhibit na kuvizuia baadhi ya virusi ikiwemo vile vya ukimwi kuziingia
na kuzidhuru seli za mwili na kusababisha maradhi mwilini. Ili kutibu
virusi vya ukimwi inashauriwa kunywa glasi 4 za tui la nazi kila siku
kwa muda wa miezi mitatu mine na utaona maajabu. 8. Hutibu tatizo la kupoteza kumbukumbu: Hii
inaweza ikakushangaza kidogo unapoisikia kwa mara ya kwanza lakini
tafiti nyingi zimeonyesha kuwa mafuta ya nazi yanao uwezo kuziamusha
seli na shughuli za ubongo na katika kufanya hivyo kutasaidia kuzuia
matatizo ya uwendawazimu au ukichaa (dementia) na kupoteza kumbukumbu
(Alzheimer). 9. Hutumika kulainisha uke mkavu: Mafuta
ya nazi yana matumizi mengi sana mwilini zaidi ya 100, kuna wanawake
wana tatizo la kuwa na uke mkavu muda wote hata wakisisimuliwa vipi bado
huwa wakavu, kuondokana na tatizo hilo pakaa mafuta ya nazi katika uke
wako na utaona faida yake tena bila madhara yeyote hasi. 10. Husaidia katika ugonjwa wa mzio/aleji: Tukisema
tuelezee faida zote za mafuta ya nazi kwa hakika hatutaweza, moja ya
faida zake zinazoshangaza wengi ni uwezo wa kudhibiti dalili za ugonjwa
wa aleji, kila siku pakaa mafuta ya nazi ndani ya pua zako na uone kama
utapiga chafya unapokuwa karibu na kile kinachokuletea aleji/mzio.
MHIMU: Hakikisha
unapata mafuta ya nazi ambayo ni ya asili kwa asilimia 100, ikiwa
utanunua dukani kuna uwezekano mkubwa yakawa yamechanganywa na kemikali
zingine au haidrogeni kitu kinachoyapunguzia thamani ile ya asili. Kama
unapikia kwenye chakula najuwa wengi mnapenda wali wa nazi au hata tui
lake likiwekwa kwenye samaki au hata mboga yoyote lazima utajing’ata
ulimi, basi nakushauri usichanganye na mafuta mengine kwenye hicho
chakula.
Picha za msichana zavuja mtandaoni kisa ni tabia yake ya kubadilisha wamaume kama nguo, ndipo jamaa akaamua kumpiga picha na kuzitupia katika mtandao KAMA UTAPENDA HIZI PICHA BONYEZA HAPA ILA NI WATU WAZIMA TU 18 + BOFYA HAPA PICHA 1 BOFYA HAPA PICHA 2 BOFYA HAPA PICHA 3 BOFYA HAPA PICHA 4
Picha chafu za msanii nyota wa bongo movie Edward Tem “Nick” zimevuja zikimuonesha akiwa na wanawake zaidi ya watano wakimchezea nyeti zake. Ikumbukwe kwamba wiki kdhaa za nyuma jamaa huyo aliwahi kufumaniwa gesti na msanii mchanga wa kike ambaye ni mke wa mtu na sakata hilo liliishia kituo cha Polisi baada ya msanii huyo kuridhia kumlipa mwenye mke kiasi cha shilingi laki tano.
Comments
Post a Comment