BREAKING NEWS:JPM Awasimaisha Kazi Wakurugenzi Halmashauri Kigoma Ujiji, Handeni


IKULU: Rais Magufuli amewasimamisha kazi Wakurugenzi wa Halmashauri za Kigoma Ujiji na Pangani baada ya kuandikiwa hati chafu kwenye Vitabu vya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iliyowasilishwa leo.

“Kuna Wilaya mbili, Halmashauri Mbili zina hati chafu, Mimi nafikiri Kigoma Ujiji na Pangani, Mimi nafikiri saa nyingine tuchukue hatua kwa vile Waziri wa TAMISEMI upo hapa WAKURUGENZI wa Wilaya hizo WASIMAMISHWE kazi leo” -Rais Magufuli

Comments

Popular posts from this blog