Breaking News: Moto Waunguza Shule ya Wasichana Korogwe

Shule ya Sekondari ya Wasichana Korogwe  iliyoko wilayani Korogwe Mkoa wa Tanga, inaungua moto usiku huu, huku chanzo cha ajali ya moto huo kikiwa hakijajulikana. Inadaiwa watu kadhaa wamejeruhiwa kutokana na moto huo. Hakuna vifo vilivyoripotiwa ama kuthibitishwa hadi sasa.
Tunaendelea kufuatilia kwa kina, taarifa zaidi tutakuletea baadaye.

Comments

Popular posts from this blog