TAUSI AFUNGUKA KUACHA ‘NIDO’ NJE

KOMEDIANI mwenye jina kubwa Bongo, Tausi Mdegela amefungukia ishu ya kuacha matiti ‘nido’ zake nje kisha kutupia picha kwenye ukurasa wake wa Instagram alipokuwa akiogelea kwenye jakuzi kuwa, ni hali ya kawaida kwa maana hawezi kuogelea akiwa amevaa suti, bali lazima avae nguo za kuogelea.
Akizungumza na Over Ze Weekend Tausi alisema kuwa, hakuona cha ajabu kama watu walivyochukulia, lakini ni jambo la kawaida kwani mtu hawezi kuogelea akiwa amevaa vitenge na ndivyo ilivyokuwa kwake na hakuna na maana nyingine.
 
“Nilivaa mavazi ya kuogelea, nisinge-weza kuvaa vitenge au suti nikaogelea maana watu wanachunguza sana,” alisema Tausi asiyeishiwa na vituko.
Imelda Mtema, Ijumaa Wikienda.

Comments

Popular posts from this blog