RAMAPHOSA AONGOZA JAHAZI KUMUNG’OA ZUMA MADARAKANI, AMPA SAA 48
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Rais Jacob Zuma. RAIS wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepewa saa 48
kujiuzulu, wadhfa wake huo huku Kiongozi mpya wa ANC, Cyril Ramaphosa
akiongoza shinikizo hilo la kumng’oa kiongozi huyo mkongwe barani
Afrika.Kwa mujibu shirika la Utangazaji la Afrika Kusini -SABC- na
vyanzo vingine vya habari, hatua hii inakuja baada ya mlolongo wa
mazungumzo yaliyofanywa na chama tawala cha nchini humo ANC.
Taarifa zinaeleza kuwa, ANC kilifanya mazungumzo marefu baadaye
kuwatuma watu wawili nyumbani kwa Rais Zuma jijini Pretoria kwenda
kumfikishia ujumbe wa chama ana kwa ana ya kwamba Zuma ajiuzulu mwenyewe
au chama kimng’oe madarakani japo mpaka sasa haijulikani kwamba Rais
Zuma alipokeaje ujumbe huo.
Hatua
hii ya ANC inaonekana ndio njia rahisi zaidi ya chama hicho kumng’oa
rais Zuma madarakani badala ya kusubiri utaratibu wa bunge ambao
ungeweza kuchukua muda mrefu na wenye madhara zaidi kwa Chama cha ANC.
Rais Zuma ambaye anakabiliwa na mashtaka kadhaa ya rushwa, alishindwa
uongozi wa chama tawala Desemba mwaka jana.Kiongozi mpya wa ANC, Cyril
Ramaphosa anaongoza shinikizo za kumuondoa Zuma katika nafasi yake hiyo
ya Urais, na hatimaye kushika pia nafasi hiyo.
Ramaphosa ameahidi pia kupambana na rushwa iliyokithiri na kukijenga
upya chama cha ANC, wakati nchi hiyo ikielekea katika uchaguzi mwakani.
CREDIT: BBC
Picha za msichana zavuja mtandaoni kisa ni tabia yake ya kubadilisha wamaume kama nguo, ndipo jamaa akaamua kumpiga picha na kuzitupia katika mtandao KAMA UTAPENDA HIZI PICHA BONYEZA HAPA ILA NI WATU WAZIMA TU 18 + BOFYA HAPA PICHA 1 BOFYA HAPA PICHA 2 BOFYA HAPA PICHA 3 BOFYA HAPA PICHA 4
Picha chafu za msanii nyota wa bongo movie Edward Tem “Nick” zimevuja zikimuonesha akiwa na wanawake zaidi ya watano wakimchezea nyeti zake. Ikumbukwe kwamba wiki kdhaa za nyuma jamaa huyo aliwahi kufumaniwa gesti na msanii mchanga wa kike ambaye ni mke wa mtu na sakata hilo liliishia kituo cha Polisi baada ya msanii huyo kuridhia kumlipa mwenye mke kiasi cha shilingi laki tano.
Comments
Post a Comment