MWANAUME AOA WANAWAKE SITA KWA KULIPWA,SABABU Z A TUKIO HILO HIZI HAPA



Mtuhumiwa huyu Peter Hicks, 57, alifanya vitendo hivi huku akilipwa kwa lengo la kuwasaidia wanawake hao kukwepa hatua za kupata nyaraka zote za kuwatambua kama wahamiaji wa nchi hiyo. Inaelezwa kuwa Hicks alioa wanawake 6 katika kipindi hicho chote.

Wanawake hao wanaripotiwa kutoka katika nchi za Kusini mwa Afrika na alikuwa tayari ameshaomba haki zote wanazotakiwa kupewa wahamiaji wanne kati yao
Comments
Post a Comment