Kamatakamata ya viongozi wa vyama vya siasa, wakiwemo wabunge leo
Februari1, 2018 imemuibua bungeni Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema),
Mchungaji Peter Msigwa kusema vitendo hivyo ni ukiukwaji wa haki za
binadamu.
Msigwa ameibua hoja hiyo katika kipindi cha maswali na majibu, baada ya
kuulizwa swali la nyongeza akihoji sababu za wanaokamatwa kushikiliwa
kwa muda mrefu katika vituo vya polisi.
“Mimi ni mhanga wa jambo hili napenda kujua msingi wake ni nini, lini mambo haya yatakoma,” amesema.
Mbunge huyo amehoji lini taarifa ya Tume ya Haki za Binadamu ambayo
ilieleza kuhusu kamatakamata itawasilishwa bungeni kwa ajili ya
kujadiliwa.
Akijibu suala hilo, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,
Kazi, Ajira na Walemavu Anthony Mavunde amesema “.., naomba wananchi
wawe watulivu na kujiepusha kufanya mambo yasiyofaa.”
Amesema kwa mujibu wa Katiba, tume hiyo inapaswa kuwasilisha taarifa
zake kwa Waziri mwenye dhamana ya masuala ya haki za binadamu.
Picha za msichana zavuja mtandaoni kisa ni tabia yake ya kubadilisha wamaume kama nguo, ndipo jamaa akaamua kumpiga picha na kuzitupia katika mtandao KAMA UTAPENDA HIZI PICHA BONYEZA HAPA ILA NI WATU WAZIMA TU 18 + BOFYA HAPA PICHA 1 BOFYA HAPA PICHA 2 BOFYA HAPA PICHA 3 BOFYA HAPA PICHA 4
Picha chafu za msanii nyota wa bongo movie Edward Tem “Nick” zimevuja zikimuonesha akiwa na wanawake zaidi ya watano wakimchezea nyeti zake. Ikumbukwe kwamba wiki kdhaa za nyuma jamaa huyo aliwahi kufumaniwa gesti na msanii mchanga wa kike ambaye ni mke wa mtu na sakata hilo liliishia kituo cha Polisi baada ya msanii huyo kuridhia kumlipa mwenye mke kiasi cha shilingi laki tano.
Comments
Post a Comment