BREAKING : MFANYAKAZI AKUTWA AMEGANDA KWENYE FREEZER MWAKA 1 TANGU APOTEE


Mwili wa marehemu huyo Joanna Demafelis, 29, umekutwa ukiwa umewekwa kwenye jokofu (freezer) ndani ya nyumba ya mwajiri wake huyo, mwaka mmoja baada ya kuripotiwa kuwa amepotea katika mazingira ya kutatanisha.

Kifo cha binti huyo kimesababisha vurugu nchini Ufilipino ambapo kumesababisha kufungwa kwa safari ya kwenda kufanya kazi Kuwait, Lebanon.
Mtuhumiwa huyo Assaf na mkewe Mona wanatuhumiwa kuhusika na kifo hicho cha binti huyo. Hatahivyo mwanamke huyo bado hajapatikana kutokana na kwamba yuko mafichoni kufuatia tukio hilo.

Comments
Post a Comment