BREAKING : ANGALIA MTOTO WA KIUME AFUMANIWA NA BABA YAKE MZAZI CHUMBANI

Kijana mmoja aliyetajwa kwa jina la Dullah, mkazi wa Chamwino, Kibao cha Shule mkoani Morogoro amedaiwa kufumaniwa akijaribu kumlawiti Baba ake mzazi. tukio hilo lakusikitisha lilitokea jumatatu iliyopota usiku nyumbani kwa mzee mmoja maarufu (jina linahifadhiwa kwasababu za kimaadili) anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 70.
Habari zinasema kijana huyo inadaiwa baada ya kutaka kufanya unyama huo, baba yake alipiga yowe kuomba msaada ambapo baadhi ya wananchi walimwita mwandishi wetu ambaye alipofika eneo la tukio alikuta kundi la wananchi wakijadili, huku mtuhumiwa akiwa amekimbia.

Comments

Popular posts from this blog