RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI, WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UGANDA SAM KUTESA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Mjumbe maalum wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni
ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Sam Kutesa mara baada ya
kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
Ujumbe Maalum uliotoka kwa Rais wa Uganda Yoweri Museveni na
kuwasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Sam Kutesa mara
baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiufungua
na kuusoma Ujumbe huo maalum uliotoka kwa Rais wa Uganda Yoweri Museveni
na kuwasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Sam Kutesa
mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Mjumbe maalum wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni ambaye pia ni Waziri wa
Mambo ya Nje wa Uganda Sam Kutesa mara baada ya kumaliza mazungumzo yao
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mjumbe
maalum wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni ambaye ni Waziri wa Mambo ya
Nje wa Uganda Sam Kutesa akiagana na Waziri wa Mambo ya Nje kwa upande
wa Tanzania Balozi Dkt. Augustine Mahiga Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment