Muslim Hassanali Ajiunga CCM Akitokea Chadema
Muslim Hassanali, aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Ilala 2015.
ALIYEKUWA mgombea ubunge Jimbo la Ilala kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika uchaguzi mkuu wa 2015, Muslim Hassanali, amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula na viongozi wengine wa CCM katika ukumbi wa Checkpoint Pugu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula (katikati)akiwa na viongozi wengine.
Muslim
Hassanali (kushoto) akirudisha fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Ilala
kwa tiketi ya Chadema katika uchaguzi mkuu wa 2015.
Comments
Post a Comment