MOTO WAUA WATU 39 NA KUJERUHI 100 HOSPITALINI

A person injured in a fire is carried from a hospital in Miryang, South Korea, Friday, Jan. 26, 2018. The hospital fire causes scores of casualties and injuries, according to a fire agency official. (Kim Dong-mi/Yonhap via AP)
WATU 39 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa katika ajali ya moto uliyotokea katika Hospitali ya Sejong, Kusini Mashariki mwa Korea Kusini usiku wa kuamkia leo.
Firefighters try to put out a fire at a hospital in Miryang, South Korea, Friday, Jan. 26, 2018.
(Kim Dong-mi/Yonhap via AP)
Taarifa za awali zimeeleza kuwa moto huo ulianzia kwenye chumba cha dharura cha hospitali hiyo ambapo maofisa wa usalama wameeleza kwamba huenda idadi ya waliokufa ikaongezeka kutokana na hali mbaya za baadhi ya majeruhi hao.
Firefighters try to put out a fire at a hospital in Miryang, South Korea, Friday, Jan. 26, 2018. (National Fire Agency/Yonhap via AP)
Zaidi ya majeruhi 100 wanasemakana wamo katika jengo la hospitali hiyo. Picha za mitandao ya jamii, zinaonyesha vikosi vya zima moto wakijaribu kukabiliana na moto huo huku kukiwa na moshi mkubwa.
A person injured in a fire is carried from a hospital in Miryang, South Korea, Friday, Jan. 26, 2018. The hospital fire causes scores of casualties and injuries, according to a fire agency official. (Kim Dong-mi/Yonhap via AP)
Mwaka jana watu 29 walikufa katika mji wa Echeon, Korea Kusini, na wengine kujeruhiwa baada ya moto kuzuka katika sehemu ya mazoezi ya wazi. Chanzo: BBC Swahili.

Comments

Popular posts from this blog