Maneno ya Uhuru Kenyatta na Odinga baada ya Olunga kuwa Mkenya wa kwanza kufunga Hat-trick

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta baada ya kuona taarifa hiyo hakukaa kimya kupitkia ukurasa wake wa Facebook akampongeza Michael Olunga kwa kusema “Ongera Michael Olunga kwa kuweka historia kuwa Mkenya wa kwanza kufunga goli katika ligi ya Hispania La Liga na kuwa mchezaji wa kwanza kufunga hat-trick kwa klabu ya
Girona
katika ligi ya Spain” Nae kiongozi wa Muungano wa Upinzania nchini
Kenya Raila Odinga amepost katika ukurasa wake wa Twitter kumpongeza
Olunga.

Comments
Post a Comment