Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima leo Januari
21, 2018 amepata pigo kwa kuondokewa na mama yake mzazi Ruth Basondole
Gwajima ambaye amefariki asubuhi ya leo.
Gwajima amesema kuwa mama yake mzazi amefariki akiwa na umri wa miaka 84
na kuwa mazishi ya mama yake mpendwa yatafanyika siku ya Alhamisi ya
Januari 25, 2018 Salasala jijini Dar es Salaama.
"Leo Saa mbili asubuhi mama yangu Mzazi, Bi Ruth Basondole Gwajima
ametwaliwa na Bwana. Karudi Mbinguni akiwa na Umri wa Miaka 84. Kuna
Furaha ya Ajabu Shujaa Wangu Amerudi kwao. Kwasababu katika maisha yake
alimtumikia Mungu. Mazishi yatafanyika Alhamis Tarehe 25/01/2018;
Salasala Dar es Salaam" alisema Gwajima.
Picha za msichana zavuja mtandaoni kisa ni tabia yake ya kubadilisha wamaume kama nguo, ndipo jamaa akaamua kumpiga picha na kuzitupia katika mtandao KAMA UTAPENDA HIZI PICHA BONYEZA HAPA ILA NI WATU WAZIMA TU 18 + BOFYA HAPA PICHA 1 BOFYA HAPA PICHA 2 BOFYA HAPA PICHA 3 BOFYA HAPA PICHA 4
Picha chafu za msanii nyota wa bongo movie Edward Tem “Nick” zimevuja zikimuonesha akiwa na wanawake zaidi ya watano wakimchezea nyeti zake. Ikumbukwe kwamba wiki kdhaa za nyuma jamaa huyo aliwahi kufumaniwa gesti na msanii mchanga wa kike ambaye ni mke wa mtu na sakata hilo liliishia kituo cha Polisi baada ya msanii huyo kuridhia kumlipa mwenye mke kiasi cha shilingi laki tano.
Comments
Post a Comment