Ikulu: Rais Magufuli Akutana na Maafisa Wakuu wa JWTZ
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akifurahia jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini (CDF)
Jenerali Venance Mabeyo kabla hajaanza kuwatambulisha Maafisa Wakuu wa
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (hawaonekani pichani) ambao
wanatarajia kustaafu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini
(CDF) Jenerali Venance Mabeyo ambaye aliambatana na Maafisa Wakuu (sita)
wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ambao wanatarajiwa kustaafu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika picha na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini (CDF) Jenerali
Venance Mabeyo pamoja na Maafisa Wakuu (sita) wa Jeshi la Ulinzi la
Wananchi wa Tanzania wanaotarajiwa kustaafu ambao ni Mnadhimu Mkuu wa
Jeshi la Ulinzi wa Tanzania Luteni Jenerali James Mwakibolwa wanne
kutoka (kulia), Meja Jenerali Michael Isamuhyo watatu kutoka (kulia)
Brigedia Jenerali Aron Robert Lukyaa wapili kutoka (kulia), Kanali Peter
Samuel Sameji wa kwanza (kulia). Wengine katika picha ni Brigedia
Jenerali William Ephraim Kivuyo wapili kutoka kushoto na Brigedia
Jenerali Elizaphani Lutende Marembo. PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment