Kigwangalla Awakutanisha Wema na Jokate
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk.Hamisi Kigwangalla jana Desemba
21, 2017 aliteua majina mengine ya Kamati ya Kitaifa ya kuandaa mwezi
maalum wa maadhimisho ya Urithi wa Tanzania. Miongoni mwa wajumbe
walioteuliwa ni makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jokate Mwegelo na
Wema Sepetu ambao wataungana na wajumbe 23 aliowateua awali kuunda
Kamati ya Kitaifa ya Kuandaa Mwezi Maalumu wa Maadhimisho ya Urithi wa
Tanzania.
Comments
Post a Comment