Rais Magufuli Aongoza Kikao Cha Kamati Kuu Ya Ccm Jijini Dar Leo
Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa
kaongozana na Katibu Mkuu wake Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili
kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es salaam leo Jumatatu
Novemba 20, 2017
Makamu
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiwa
kaongozana na Katibu Mkuu wa chama hicho Ndugu Abdulrahman Kinana
akiwasili katika kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es salaam leo
Jumatatu Novemba 20, 2017
Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akiweka sawa
makabrasha kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es
salaam leo Jumatatu Novemba 20, 2017
Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akiweka sawa
makabrasha kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es
salaam leo Jumatatu Novemba 20, 2017
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Abdulrahman Kinana
akithibitisha kutimia kwa akidi kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu
ya CCM jijini Dar es salaam kinachoongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho
Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu Novemba 20, 2017
Comments
Post a Comment